Unazungumzia security ipi kwanza kwenye simu? Nilikuuliza mwanzo unapo zungumzia security jua unazunguzmia kitu gani. Hizi devices zipo vizuri sana, ila inaweza ikawa sio safe kutokana na mtumiajiMtu kuwa hacked kama unatumia simu mara nyingi ni kutoka kwenye zile applications unazodownload hata iphone sio immune wa hizo vitu. Ndio maana ya third parties!
Asanteeeee! Samsung wameukimbia uzi huku!1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps
2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.
Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hata tekno anazo Oled unataka tuanzishe mjadala wa Oled?Unaongelea toleo la mwaka gani? Sikuhizi ni oled kwa kwenda mbele
Security ni kuhakikisha taarifa zilizomo ndani ya simu haziwi leaked, interfered, misplaced. Zile sensitive zote ziwe protected, kwanzia hardware yenyewe yaani simu na software yake yani iOS au android!Unazungumzia security ipi kwanza kwenye simu? Nilikuuliza mwanzo unapo zungumzia security jua unazunguzmia kitu gani. Hizi devices zipo vizuri sana, ila inaweza ikawa sio safe kutokana na mtumiaji
Sihitaji kubishana na mashabiki wa Iphone nahitaji kubishana na watu wanaozijua simu.Acha kufananisha na huo upupu wa infinix na tekno unaijua iphone au ninjaa za mchana!
Simu za mchina sijawahi kuzielewa kabisa, hazina value for money. Bora hata tupambane na samsungHuawei huzijui mzee. Nimetumia simu kama Samsung, Huawei, na hizo iPhone. Huwa ni badilisha badilisha.. Kwa mtu anae jua simu hawezi beza Huawei hata kidogo. Labda kwa sasa hivi kwa jairi ya vikwazo
usichoke kujaribu, jaribu na iphone2013 ndio ulikuwa mwanzo wangu wa kutumia smartphone, nilinunua TECNO P5. Nilitumia mwaka mzima ila nilichokiona nisiongee kwa sasa. Baada ya kuachana na TECNO, 2014 nikanunua LG ambayo nilitumia miaka miwili. Baada ya kuachana na LG nikanunia Samsung ambapo hadi leo natumia brand hii. Binafsi naona niko satisfied na sihitaji kuonja ladha nyingine.
Kwa upande wa simu vitochi nimewahi kutumia Nokia na Samsung pekee. Baada ya kuachana na smartphone ya LG sijawahi kutumia kitochi.
wengi walizoea android huwa wanapata tabu kuizoea iphone hivyo huishia hapo hio ndio changamotoNilijaribu iPhone ikanishinda nikajirudia zangu sumsung user friendly
Kaa kimya hujui kitu weweAcha kuota ndoto za mchana Eti Huawei!
Iphone ni simu nzuri sana ila inahitaji mtu mwenye hela, na kuifananisha na Huawei si sahihi sana. Ku-operate iTunes hela.Ni simu nzuri ila sasa mfumo wake wengine tunaona kama mizinguo flan ivi
Kuna rafiki yangu aliwahi kuitumia recently lakini nae akaachana nayo karudi kwenye Samsung. Sioni kama itakuwa la ziada. Kama issue ni security pekee kwangu naona ni hoja dhaifu.usichoke kujaribu, jaribu na iphone