Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

2013 ndio ulikuwa mwanzo wangu wa kutumia smartphone, nilinunua TECNO P5. Nilitumia mwaka mzima ila nilichokiona nisiongee kwa sasa. Baada ya kuachana na TECNO, 2014 nikanunua LG ambayo nilitumia miaka miwili. Baada ya kuachana na LG nikanunia Samsung ambapo hadi leo natumia brand hii. Binafsi naona niko satisfied na sihitaji kuonja ladha nyingine.
Kwa upande wa simu vitochi nimewahi kutumia Nokia na Samsung pekee. Baada ya kuachana na smartphone ya LG sijawahi kutumia kitochi.
 
1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps

2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.

Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mtu kuwa hacked kama unatumia simu mara nyingi ni kutoka kwenye zile applications unazodownload hata iphone sio immune wa hizo vitu. Ndio maana ya third parties!
Unazungumzia security ipi kwanza kwenye simu? Nilikuuliza mwanzo unapo zungumzia security jua unazunguzmia kitu gani. Hizi devices zipo vizuri sana, ila inaweza ikawa sio safe kutokana na mtumiaji
 
1. Scanning ya documents bila kutumia 3rd part apps

2. Kutokatika kwa internet uliyoshare na vifaa vyako vingine kama laptop wakati simu inaita au unaendelea kutumia kwa mazungumzo.

Nadhani hizo features mbili kwenye Android hazipo. Kwangu mimi hizo features zinanifanya niiweke iPhone mbele ya simu zingine za Android.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Asanteeeee! Samsung wameukimbia uzi huku!
 
Tatizo la watanzania wengi ni wafuata mkumbo,unakuta mtu anakwambia iphone ni nzuri kwakuwa ina security bora,sasa ukimwambia aelezee huo ubora wa security kutoka iphone anabaki kubwabwaja tu!.
Watumiaji wengi wa iphone hasa vijana hapa Tanzania ni show off na u-much know mwingi wakiamini ndizo simu za kijanja zinazowavutia wanawake/wanaume wengi,hivyo wanaamini ukiwa na simu za iPhone basi kumpata mwanamke/mwanaume ni kugusa tu!.

Kuna kundi ambalo wao wanaamini ukiwa na iphone basi wewe ni mtu wa hadhi fulani na hugusiki wala husogeleki kirahisi rahisi hasa kina dada wanaojiita slay Queen.
Ni asilimia chache sana wanaonunua iphone kwasababu ya ubora na security,lakini wengi wao wanaangukia kwenye makundi niliyotaja hapo juu.

Binafsi naipenda sana Samsung na nimeanza kuitumia Mwaka 2010 hadi leo hii sijaona mbadala wa Samsung,ingawa nimewahi kutumia iphone 11 Pro max lakini niliamua kuigawa kwasababu niliona kama hainivutii nikaamua kurudi kwenye Samsung S9 ambayo natumia hadi hivi leo!.
Huwa naipenda sana Samsung kwasababu naona kwa upande wangu ni rahisi sana kuitumia na kuchezea vitu vingi,nadhani ni kwasababu pia nimetumia kwa muda mrefu sana,pia Samsung ukinunua orijino utaipenda sana,achana na zile za makumbusho na kariakoo ambazo nyingi ni fake au refub!.

Huwa siangalii sana security ingawa naamini katika security pia.

Next naangukia kwenye Samsung S21.
 
Unazungumzia security ipi kwanza kwenye simu? Nilikuuliza mwanzo unapo zungumzia security jua unazunguzmia kitu gani. Hizi devices zipo vizuri sana, ila inaweza ikawa sio safe kutokana na mtumiaji
Security ni kuhakikisha taarifa zilizomo ndani ya simu haziwi leaked, interfered, misplaced. Zile sensitive zote ziwe protected, kwanzia hardware yenyewe yaani simu na software yake yani iOS au android!
 
Sihitaji kubishana na mashabiki wa Iphone nahitaji kubishana na watu wanaozijua simu.

Iphone ina kioo kama cha tecno au infinix.
🙆🏻‍♂️😂 Ips LCD screen vs xdr OLED super retina!
 
2013 ndio ulikuwa mwanzo wangu wa kutumia smartphone, nilinunua TECNO P5. Nilitumia mwaka mzima ila nilichokiona nisiongee kwa sasa. Baada ya kuachana na TECNO, 2014 nikanunua LG ambayo nilitumia miaka miwili. Baada ya kuachana na LG nikanunia Samsung ambapo hadi leo natumia brand hii. Binafsi naona niko satisfied na sihitaji kuonja ladha nyingine.
Kwa upande wa simu vitochi nimewahi kutumia Nokia na Samsung pekee. Baada ya kuachana na smartphone ya LG sijawahi kutumia kitochi.
usichoke kujaribu, jaribu na iphone
 
Ni simu nzuri ila sasa mfumo wake wengine tunaona kama mizinguo flan ivi
Iphone ni simu nzuri sana ila inahitaji mtu mwenye hela, na kuifananisha na Huawei si sahihi sana. Ku-operate iTunes hela.

Binafsi kazi zangu zinanihitaji ku-download files kidogo, na kwa upande huo restriction za iphone zimenishinda kabisa, na samsung kwenye hilo nashukuru kwakweli imenikomboa.

Downside kubwa ya samsung ni kioo na spare parts ukilinganisha na iPhone.
 
Back
Top Bottom