tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,739
- 8,044
2013 ndio ulikuwa mwanzo wangu wa kutumia smartphone, nilinunua TECNO P5. Nilitumia mwaka mzima ila nilichokiona nisiongee kwa sasa. Baada ya kuachana na TECNO, 2014 nikanunua LG ambayo nilitumia miaka miwili. Baada ya kuachana na LG nikanunia Samsung ambapo hadi leo natumia brand hii. Binafsi naona niko satisfied na sihitaji kuonja ladha nyingine.
Kwa upande wa simu vitochi nimewahi kutumia Nokia na Samsung pekee. Baada ya kuachana na smartphone ya LG sijawahi kutumia kitochi.
Kwa upande wa simu vitochi nimewahi kutumia Nokia na Samsung pekee. Baada ya kuachana na smartphone ya LG sijawahi kutumia kitochi.