Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

Cm ambayo ilikuwa ni flagship miaka hiyo ni nokia ikaja blackberry. Then iphone took over. Iphone ukiangalia upande wa picture videos software security na hardware ni unique in it's way. Kama ni first time user wa iphone lazima ujione mshamba flani hivi unlike Samsung.
 
Mkuu unajua maana ya flagship?
 
We jamaa unajua,mi nina simu zote hizo ila nayopenda kutumia mara kwa mara ni Samsung wako vizuri kuliko Iphone
 
Ndio nafahamu mkuu karibu kuendelea kuniuliza.
Sawa

Labda tunatofautiana kwenye uelewa

Flagship refers to the most advanced product in the line. For example, a flagship smartphone is the top-end phone made by the company.

Ninachoelewa tunapozungumzia flagship ni ile biadhaa bora kabisa ya kampuni. Kwa mfano Samsung flagship phones ni Galaxy S-series sio A-series au M-series kwa sababu ziko most advanced na ni top-end phones
 
Upo sawa kabisaaa sikubishii. Sasa niulize swali lako.
 
Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa

Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22

Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku
 
Hakuna iphone yeyote inayo izidi chochote Galaxy s22 ultra iliyopo sokon kwasasa

Hata hizo iphone 14, hakuna kitu inaizidi samsung galaxy s22

Mnaenda nunua Samsung A series mnazitumia kama kipimo, njoo kwenye galaxy S series huku
Poa twende na facts sasa sio kubishana tuu. Tuanze na hardware ipi ni durable kati ya hizo cm 2?
 
Ndio maana unaona marue ruwe

S9 toleo la 2018 unalinganisha na simu toleo la 2020? I phone 12 lmganisha na samsung galaxy s20, hakuna kitu unasogelea hapo
Nimeshakuuliza swali we ni jibu.
 
Mkuu hiyo s10 + 5g ni balaaaa😁😁😁

Kiukweli samsung wamewekeza sana kwenye displays, na ndo maana iphone pia kwenye toleo la jipya wametumia displays za samsung "Gorilla Glass ".
 
Kuna jamaa hajui ilitoka huawei tishio kwa maisha ya simu flani ..yeue anasema huawei ina stuck sijui anazungumzia y330 ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…