Sanaa: Jeshi la Israel Lafanya Mashambulizi ya Anga Nchini Yemen

Mkubwa vipi, bila kutukana huwezi kuandika. Wastaarabu wanatoa elimu, ila shabiki maandazi hurukia matusi. Sio kila mtu ni mshabiki wa Israel KIROHO. BBC leo taarifa ya habari saa 12:30 imethibitisha Hezbollah na Hamas na Syria wako hoi. Mliwatukuza sana. Leo wamepukutishwa. Haihitaji ushabiki kujua nani anapoteza na nani anashinda. Leo nenda Ghaza, Lebanon na Syria tuletee habari.
 
Final destination ni Iran, nafsi inajaribu kukataa lakini this movement ni yeye anatafutwa
 
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
hata hassan nasraah alikuwa na akili kama yako, aliamini israel si lolote si kuti, hadi alipojikuta kapigwa bom la kiuno na meshapelekwa kuzimuni. sasaivi atakuwa ameshaoza oza oza kabisa.
 
Uperarion hiyo imefanywa na uingerza usa na isreli kaingizwa hapo lakini kama kawa sifa zote anapew isreli hii sio kwa bahat Mbaya bali ni sifa zile zile walazimishazo yahudi awe nazo
Ok; basi SIFA zote pokea wewe ewe mwenye kustahili! Fa**3n!
 
Atakuwa na majasusi kila nchi. Najiuliza anajuaje maeneo nyeti kiasi hicho na kuyalenga bila kumkosea ?
itakua aliacha mbegu sehemu zote alizowahi kukaa utumwani... myahudi hapo middle east mpaka ajemi ameshiaishi kama mtumwa kwa miaka mingi mno.. sasa nahisi aliacha mbegu zake kote huko na ndio zinamsaidia mpaka leo.
 
Last kicks of a dying horse hadi kinyesi kitamtoka! Jinga hilo.
 
Alafu ametumia ndege zilikuwa na marubani Wanawake🤣🤣 Kwenye Jihad Mwislam iwapo kifo chake kimesababishwa na MWANAMKE ana Pepo😭 Israel sio wa kuchezewa Wameyataka ! Amewarudisha karne ya 5 Waishi maisha ya karne ya Mtume wao..
Unakosea! Midemu flani hivi mizuri hiyo! Yana sura hayo! Mabikra 72 ya kuzimu yarudi shule kujifunza uzuri.
 
Shikamoo mwikolojia Mukulu
 
Msemaji wa waasi wa HOUTHI emetoa taarifa kuwa mpaka sasa watu 9 wameuawa na 38 kujeruhiwa
Na bado,
Saivi watapigwa sana hadi wapoteane maana mlezi na mfadhili wao ashapigwa pini, hana uwezo wa kuwafikishia silaha, fedha, chakula, nk
 
Nenda kajifunze kwanza kuandika vizuri ndio uje


Kobazi na ujinga ni pipa na mfuniko
 
IDF Womens
 

Attachments

  • IMG_0167.jpeg
    71.1 KB · Views: 2
  • IMG_0168.jpeg
    68.3 KB · Views: 1
  • IMG_0166.jpeg
    20.5 KB · Views: 1

Attachments

  • IMG_0164.png
    87.4 KB · Views: 1
  • IMG_0163.png
    98.1 KB · Views: 1
  • IMG_0167.jpeg
    71.1 KB · Views: 1
FaizaFoxy unaona wenye akili wanavyofanya mambo yao bila kukurupuka?

Robert:

Nakumbuka kumjibu mwanajamvi mmoja kuwa, Waarabu wanabidi watulie na wabadili mbinu yao dhidi ya kupambana na Wayahudi! mbinu ya vita ni ngumu mno kwao. Historia iko wazi, walishindwa 1948, 1967, 1973 na kibaya zaidi huwa wanapoteza ardhi na kuanza kuidai upya!

Angalia matokeo ya vita hii, Waarabu wamepoteza maeneo Syria! Walichobakiwa nacho ni hao mateka 100! ambayo ni kama bargaining chip ya kutaka mateka wao Israel ambao wako maelfu wafunguliwe, na wale sio wapate wanachokidai!Yaani Ardhi yao kama wanavyodai wenyewe! Na kama unafuatilizia majadiliano ya sasa hivi, wamebanwa kiasi cha kukubali IDF ibakie Gaza hata baada ya kubadilishana hao Waisrael 100 na mateka walioko Israel!

Unapochanganya dini, na kuweka akili pia aliyokupa Mwenyezi Mungu, ndio shida kubwa inapoaanzia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…