Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa.

Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia.

Hii ilikuwa mwaka 2021
20260110_072137.jpg
 
Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Familia gn ya kibongo inakula 46m kwa mwezi, em acheni kutetea ujinga.

Ww mwnyw piga hesabu ya familia yako hapo na kusaidia wazazi/ndugu haiwezi kuzidi 3m kwa mwezi hii n kwa wale wenye pesa ila sisi walalahoi familia inakula sio zaidi ya 200k
 
Si ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa.

Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia.

Hii ilikuwa mwaka 2021 View attachment 3527750
Pale unapomsaidia mtu ambaye alipaswa akusaidie wewe.

Siku hizi ni kukaa chonjo sana, watu wanatumia huruma yako kujinufaisha
 
Back
Top Bottom