T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hilo kundi la wategemezi ndio lichangie, sio hawa raia wenye kipato cha laki tatu kwa mwezi ndio wachange.Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Muuza mihogo akiumwa achangiwe na nani? Watu maskini wakiumwa wauze vibanda vyao na mashamba ila wanaojiita matajiri wakiumwa watenge mabeseni kuchangiwa. Hii haikubaliki.