Kuingiza milioni 46 kwa mwezi kibongo bongo ni nyingi mnooo, ni zaidi yailioni 500 kwa mwaka, kwa mwenye akili lazima awe mbali mnooo kiuchumi.. kuumwa kidogo hawezi lia lia..
Magonjwa ya milioni 50, 100 si kitu kwake.
Shida ya celebrity wa bongo hawajambo kuongeza 0..
Toka qanze kuingiza hizo 46 unadhani kwa muwekezaji, saa hizi ana biashara ama mifumo ya pesa yenye thamani gani.. si unazungumzia bilioni za pesa.
Hapo hujazungumxiq zile alizowqdhulumu kina nature, yamoto band na wengineo, bado udiwani, uchawa CCM etc.
Kwa mtu kama huyo mkewe kulia lia haipendezi, angetoa tu taarifa, anaumwq hiki na hiki wameshafanya hiki na hiki, mwenye kutaka kuchangia atachangiq kwa atakavyoguswa..
Ama mwanamke ugonjwa wa mumewe anataka kufanya mtaji nini?