Sanaa na wasanii, Mkubwa Fella unalilia wakati pesa zipo! Someni hapa

Hii kali, tajiri anageuka ombaomba!
Ni tapeli tu anataka kutumia ugonjwa kuachia utajiri wake zake.

Mtu ana milika ma apartment na viwanja kila kona ya Dar kwa nini asiuze ikamsaidia?

Walishatuona sisi watz ni washamba wa huruma bila reasoning.

Huu Mchezo alikuwa anautumia sana yule Msanii aliyepata ajali na ulemavu wa migui nimsahau jina
 
Mbongo akikwambia ana hela wewe subiri augue! Bongo hii wanasiasa ndio wenye hela/wezi, ila kwa hawa wavaa mlegezo pesa zao ni kiini macho. Fella amekaza matibabu wee kaona yanamuelemea kaanza kuona ametengwa na "wana"...😁
 
Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Kuingiza milioni 46 kwa mwezi kibongo bongo ni nyingi mnooo, ni zaidi yailioni 500 kwa mwaka, kwa mwenye akili lazima awe mbali mnooo kiuchumi.. kuumwa kidogo hawezi lia lia..
Magonjwa ya milioni 50, 100 si kitu kwake.
Shida ya celebrity wa bongo hawajambo kuongeza 0..
Toka qanze kuingiza hizo 46 unadhani kwa muwekezaji, saa hizi ana biashara ama mifumo ya pesa yenye thamani gani.. si unazungumzia bilioni za pesa.
Hapo hujazungumxiq zile alizowqdhulumu kina nature, yamoto band na wengineo, bado udiwani, uchawa CCM etc.
Kwa mtu kama huyo mkewe kulia lia haipendezi, angetoa tu taarifa, anaumwq hiki na hiki wameshafanya hiki na hiki, mwenye kutaka kuchangia atachangiq kwa atakavyoguswa..
Ama mwanamke ugonjwa wa mumewe anataka kufanya mtaji nini?
 
Ili aingize 48M atwambie alikuwa anafaya kazi gani inayostahili malipo hayo😂😂😂
 
Ku-fake maisha ni kubaya sana,hata humu wapo wanaojichanganya unakuta mtu kwenye uzi wa magari makali anasema currently anaendesha Subaru huku ameagiza Japan Harrier Tako la Nyani ukizunguka zunguka jukwaani unakutana nae tena kwenye uzi wa kutafuta kibarua chochote unamkuta yule yule aliyesema ana gari mbili anasema ikitokea hata kazi ya 7K kwa siku atagiwe.
 
hizo ni show off tu ukute mshahara wake haufiki hata 10m, pia hawa watu wanakuaga na matumizi mengi ya kijinga.
Hata kama una matumizi ya kijinga 46m per month siyo mchezo! Angetenga tu 6m kwa mwezi maanake kwa mwaka angekuwa na 72m sasa saa ngapi angelialia? Auze nyumba mojawapo imtibishe aache kupitia aibu mbele za watu! Mwenzake Prof.J aliuza kila alicho nacho kwa ajili ya afya!
 
Unajua mbali na hizo material things we are all human being, swala la sasa ni msaada kwake hayo yalipita
Anazo pesa na mali, auze aache kunyonya watu wasio na kitu kwa sababu tu anaamini watamuonea huruma.

Mimi sina hata kiwanja, nikiumwa nauza hata simu, ila yeye ana majumba, viwanja anataka mimi ndio nitoe elfu tano akatibiwe, hiyo sio huruma ni ujinga
 
Sasa kwanin analia lia, ama ndio hataki kutumia zake, atumie zetu kwanza, wamegeuza watanzania mtaji!!?
Juzi kuna mjinga mmoja kanitukana sana hapa. Ililetwa mada ya Saida Kalori eti anaishi maisha mabaya, serikali imemsahau haitaki kumsaidia. Mimi nikahoji kwa nini watu wanadhani wasanii pekee ndiyo wanataka kusaidiwa wanapopata matatizo? Nikasema kuna wakulima, wafanyakazi hodari ambao hupata matatizo pia. Watu hawajui kuwa jukumu la ''kesho itakuwaje'' ni la mtu binafsi na siyo jumuia. Sana sana kinachotakiwa sisi wananchi kwa umoja wetu tuungane kupigania uongozi bora utakaofanya watu wamudu matibabu au hali ngumu za kiuchumi na siyo kutaka mtu mmoja mmoja asaidiwe. Kwanza hawa wasanii ndiyo wanaongoza kutetea ufedhuli wa CCM.
 
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Anazo pesa na mali, auze aache kunyonya watu wasio na kitu kwa sababu tu anaamini watamuonea huruma.

Mimi sina hata kiwanja, nikiumwa nauza hata simu, ila yeye ana majumba, viwanja anataka mimi ndio nitoe elfu tano akatibiwe, hiyo sio huruma ni ujinga
Kwani Domo yeye anasemaje khs hii taharuki?
 
Shida maisha ya usanaa kujigamba, wakipatwa na matatizo wanaanza kutia huruma anyway pesa anazo
 
Back
Top Bottom