Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Ni tapeli tu anataka kutumia ugonjwa kuachia utajiri wake zake.Hii kali, tajiri anageuka ombaomba!
Kuingiza milioni 46 kwa mwezi kibongo bongo ni nyingi mnooo, ni zaidi yailioni 500 kwa mwaka, kwa mwenye akili lazima awe mbali mnooo kiuchumi.. kuumwa kidogo hawezi lia lia..Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Ili aingize 48M atwambie alikuwa anafaya kazi gani inayostahili malipo hayo😂😂😂Kuingiza milioni 46 kwa mwezi kibongo bongo ni nyingi mnooo, ni zaidi yailioni 500 kwa mwaka, kwa mwenye akili lazima awe mbali mnooo kiuchumi.. kuumwa kidogo hawezi lia lia..
Magonjwa ya milioni 50, 100 si kitu kwake.
Shida ya celebrity wa bongo hawajambo kuongeza 0..
Toka qanze kuingiza hizo 46 unadhani kwa muwekezaji, saa hizi ana biashara ama mifumo ya pesa yenye thamani gani.. si unazungumzia bilioni za pesa.
Hapo hujazungumxiq zile alizowqdhulumu kina nature, yamoto band na wengineo, bado udiwani, uchawa CCM etc.
Kwa mtu kama huyo mkewe kulia lia haipendezi, angetoa tu taarifa, anaumwq hiki na hiki wameshafanya hiki na hiki, mwenye kutaka kuchangia atachangiq kwa atakavyoguswa..
Ama mwanamke ugonjwa wa mumewe anataka kufanya mtaji nini?
Ofcourse ana ma apatimenti na majumba na viwanja kila kona DarKuanzia ameanza kulipwa hy 47m kwa mwezi, amewekeza wapi?
Sasa kwanin analia lia, ama ndio hataki kutumia zake, atumie zetu kwanza, wamegeuza watanzania mtaji!!?Ofcourse ana ma apatimenti na majumba na viwanja kila kona Dar
Bc hakuna haja ya kusaidiwa, anajiweza vzr Sana huyo, mm niliyepanga chumba kimoja siwezi kumsaidia mtu mwenye ma apatiment Dar nzimaOfcourse ana ma apatimenti na majumba na viwanja kila kona Dar
Labda aliwekeza Kwa Warembo..Kuanzia ameanza kulipwa hy 47m kwa mwezi, amewekeza wapi?
Wasanii ndivyo walivyo wana mali nyingi lakini wanatumia Unyonge wa washabiki kujinufaishaBc hakuna haja ya kusaidiwa, anajiweza vzr Sana huyo, mm niliyepanga chumba kimoja siwezi kumsaidia mtu mwenye ma apatiment Dar nzima
Hata kama una matumizi ya kijinga 46m per month siyo mchezo! Angetenga tu 6m kwa mwezi maanake kwa mwaka angekuwa na 72m sasa saa ngapi angelialia? Auze nyumba mojawapo imtibishe aache kupitia aibu mbele za watu! Mwenzake Prof.J aliuza kila alicho nacho kwa ajili ya afya!hizo ni show off tu ukute mshahara wake haufiki hata 10m, pia hawa watu wanakuaga na matumizi mengi ya kijinga.
Unajua mbali na hizo material things we are all human being, swala la sasa ni msaada kwake hayo yalipitaMhhh tumsaidie jamaa tuachane na hayo yote ya nyuma hela hata kama ni kweli alikuwa nazo huisha
Anazo pesa na mali, auze aache kunyonya watu wasio na kitu kwa sababu tu anaamini watamuonea huruma.Unajua mbali na hizo material things we are all human being, swala la sasa ni msaada kwake hayo yalipita
Hahahaha ameumbuka sema hawanaga aibu hawaSi ndani wala nje ya nchi ila wasanii wanaishi maisha ya sanaa.
Marehemu ruge respect sana kwa kutuambia ogopa mungu na teknolojia.
Hii ilikuwa mwaka 2021 View attachment 3527750
Juzi kuna mjinga mmoja kanitukana sana hapa. Ililetwa mada ya Saida Kalori eti anaishi maisha mabaya, serikali imemsahau haitaki kumsaidia. Mimi nikahoji kwa nini watu wanadhani wasanii pekee ndiyo wanataka kusaidiwa wanapopata matatizo? Nikasema kuna wakulima, wafanyakazi hodari ambao hupata matatizo pia. Watu hawajui kuwa jukumu la ''kesho itakuwaje'' ni la mtu binafsi na siyo jumuia. Sana sana kinachotakiwa sisi wananchi kwa umoja wetu tuungane kupigania uongozi bora utakaofanya watu wamudu matibabu au hali ngumu za kiuchumi na siyo kutaka mtu mmoja mmoja asaidiwe. Kwanza hawa wasanii ndiyo wanaongoza kutetea ufedhuli wa CCM.Sasa kwanin analia lia, ama ndio hataki kutumia zake, atumie zetu kwanza, wamegeuza watanzania mtaji!!?
Mkuu umemaliza kila kituJuzi kuna mjinga mmoja kanitukana sana hapa. Ililetwa mada ya Saida Kalori eti anaishi maisha mabaya, serikali imemsahau haitaki kumsaidia. Mimi nikahoji kwa nini watu wanadhani wasanii pekee ndiyo wanataka kusaidiwa wanapopata matatizo? Nikasema kuna wakulima, wafanyakazi hodari ambao hupata matatizo pia. Watu hawajui kuwa jukumu la ''kesho itakuwaje'' ni la mtu binafsi na siyo jumuia. Sana sana kinachotakiwa sisi wananchi kwa umoja wetu tuungane kupigania uongozi bora utakaofanya watu wamudu matibabu au hali ngumu za kiuchumi na siyo kutaka mtu mmoja mmoja asaidiwe. Kwanza hawa wasanii ndiyo wanaongoza kutetea ufedhuli wa CCM.
Kwani Domo yeye anasemaje khs hii taharuki?Anazo pesa na mali, auze aache kunyonya watu wasio na kitu kwa sababu tu anaamini watamuonea huruma.
Mimi sina hata kiwanja, nikiumwa nauza hata simu, ila yeye ana majumba, viwanja anataka mimi ndio nitoe elfu tano akatibiwe, hiyo sio huruma ni ujinga