T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hilo kundi la wategemezi ndio lichangie, sio hawa raia wenye kipato cha laki tatu kwa mwezi ndio wachange.Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Kiongozi mimi sijasoma elimu ya pesa but nakwambia hela mwenzake discipline,hela haijawahi kutosha lakini hiyo hiyo kama kidogo au nyingi inaweza ikaisha kama huna nidhamu ya kuitumia au ikadumu ukiisimamia vizuri.Pesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Aliotumia nao wakamchangiePesa haijawahi kutosha pia inabidi mjue kadri mtu anavoingiza pesa kubwa mda huo hata kundi la wategemezi nyuma yake linazidi kuwa kubwa!,hawezi tumia pekeake yote 46m!.
Wao kazi kuipamba CCM wanasahau kuna shida za JUMUIA.. laiti wangesapoti tukapata uongozi bora, gesi yetu, madini yetu na kila rasilimali yetu ikatumika vizuri, elimu, afya na mengineyo yangekuwq bora, wasingeteseka.Juzi kuna mjinga mmoja kanitukana sana hapa. Ililetwa mada ya Saida Kalori eti anaishi maisha mabaya, serikali imemsahau haitaki kumsaidia. Mimi nikahoji kwa nini watu wanadhani wasanii pekee ndiyo wanataka kusaidiwa wanapopata matatizo? Nikasema kuna wakulima, wafanyakazi hodari ambao hupata matatizo pia. Watu hawajui kuwa jukumu la ''kesho itakuwaje'' ni la mtu binafsi na siyo jumuia. Sana sana kinachotakiwa sisi wananchi kwa umoja wetu tuungane kupigania uongozi bora utakaofanya watu wamudu matibabu au hali ngumu za kiuchumi na siyo kutaka mtu mmoja mmoja asaidiwe. Kwanza hawa wasanii ndiyo wanaongoza kutetea ufedhuli wa CCM.
hahah! Mkuu.Hilo kundi la wategemezi ndio lichangie, sio hawa raia wenye kipato cha laki tatu kwa mwezi ndio wachange.
Muuza mihogo akiumwa achangiwe na nani? Watu maskini wakiumwa wauze vibanda vyao na mashamba ila wanaojiita matajiri wakiumwa watenge mabeseni kuchangiwa. Hii haikubaliki.
upo sahihi kabisa sina cha kuongeza hapo mkuu!, ujumbe mzuri sana huu.Kiongozi mimi sijasoma elimu ya pesa but nakwambia hela mwenzake discipline,hela haijawahi kutosha lakini hiyo hiyo kama kidogo au nyingi inaweza ikaisha kama huna nidhamu ya kuitumia au ikadumu ukiisimamia vizuri.
Unaposema wategemezi nyuma yake unadhani fela alikuwa na tofauti na sisi wengine?ni wale wale tu baba mama mke watoto sometimes ndugu wawili watatu alikuwa anawasaidia but angekuwa ana nidhamu asingehangaika leo,kikubwa shida yetu Watanzania wengi hatuna elimu ya pesa mtu akisaini cheque ya 40mill anadhani ni mzigo wa maana kumbe haijengi hata nyumba room nne ikaisha.
hahahah.Aliotumia nao wakamchangie
Sasa ndo awaambie watu zile zilikuwa fix tu, ama alifanya anasa kulitiliza za bei ghari.hizo ni show off tu ukute mshahara wake haufiki hata 10m, pia hawa watu wanakuaga na matumizi mengi ya kijinga.
Diwani wa kilungule.asee teknolojia....si alikuwa diwani wa mbogamboga huyu
Wapo wanaostahili msaada sio huyu.Mhhh tumsaidie jamaa tuachane na hayo yote ya nyuma hela hata kama ni kweli alikuwa nazo huisha
Kwa ukubwa wa diamond ,nakubali hicho kiasi alichosema na hata angesema zaidi ya hapo ningekubali pia.hizo ni show off tu ukute mshahara wake haufiki hata 10m, pia hawa watu wanakuaga na matumizi mengi ya kijinga.
Inaonesha circle yako imejaa walala hoi sana.Familia gn ya kibongo inakula 46m kwa mwezi, em acheni kutetea ujinga.
Ww mwnyw piga hesabu ya familia yako hapo na kusaidia wazazi/ndugu haiwezi kuzidi 3m kwa mwezi hii n kwa wale wenye pesa ila sisi walalahoi familia inakula sio zaidi ya 200k
Mkuu sina chuki na Diamond wala msanii yeyote ila kwa jinsi ninavyoijua entertainment industry ni wasanii wachache wenye kipato kinachozidi Tsh Milioni 2 kwa mwezi. Kungekuwa hakuna watu wa kati kama Fella wangekuwa wanapata zaidi. Ila huambulia kiduchu.Kwa ukubwa wa diamond ,nakubali hicho kiasi alichosema na hata angesema zaidi ya hapo ningekubali pia.
Ma dancers wake tu wanakunja mzigo mrefu sembuse meneja.
Hapana mkuu. 46m ni nyingi sana kibongobongo. Hata Mbunge hana hiyo hela. Hiyo labda Director General wa taasisi kubwa kama TANESCO anaweza kuwa nayo.Inaonesha circle yako imejaa walala hoi sana.
Hiyo 46M ni pesa ya madafu tu hiyo.
๐ฆ๐ถ๐ธ๐ ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐๐ถ ๐ต๐ฎ๐๐ถ๐๐ฎ๐น๐ถ๐๐ถ ๐๐ฒ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐๐ป๐ด๐๐ฎ ๐บ๐ธ๐ผ๐ป๐ผ๐ป๐ถ, ๐ธ๐ถ๐๐ป๐ผ๐ป๐ถ ๐ฎ๐ ๐๐ต๐ถ๐ป๐ด๐ผ๐ป๐ถ. ๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐ผ๐ณ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐น๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ฏ๐ ๐๐ถ๐ธ๐ ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ต๐๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ต๐ถ๐ฟ๐ถ๐๐ถ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐๐ฒ ๐บ๐ฎ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ. ๐๐ต๐ฒ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐น๐๐ฒ๐ฟ ๐ป๐ฎ ๐ด๐ผ๐น๐ฑMkubwa fella vidoleni mwake alikuwa anavaa mapete ya aina gani? Tuanzie hapo kwanza!