Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,438
Nje ya maada, mkuu kama unaijua Excel in details njoo kwenye huu uzi Tupeane maujanja ya Excel kuna Nested IF formula inaleta utata.Shida maisha ya usanaa kujigamba, wakipatwa na matatizo wanaanza kutia huruma anyway pesa anazo
hajakosea! Umeongea UPUUZI!MKuu jifunze kujizuia kutusi watu randomly sio ufahari hasa kwa mtu ambae hajakukosea.
Hiyo milioni 46 ni mshahara wake, HAPO hajaweka NYUMBA za wapangaji madili ya wasanii WENGINE nk, tuna safari ndefu SANA SISI masikini BADO tunajiuliza kama HAWA matajiri wanapitisha bakuli SISI jeKuingiza milioni 46 kwa mwezi kibongo bongo ni nyingi mnooo, ni zaidi yailioni 500 kwa mwaka, kwa mwenye akili lazima awe mbali mnooo kiuchumi.. kuumwa kidogo hawezi lia lia..
Magonjwa ya milioni 50, 100 si kitu kwake.
Shida ya celebrity wa bongo hawajambo kuongeza 0..
Toka qanze kuingiza hizo 46 unadhani kwa muwekezaji, saa hizi ana biashara ama mifumo ya pesa yenye thamani gani.. si unazungumzia bilioni za pesa.
Hapo hujazungumxiq zile alizowqdhulumu kina nature, yamoto band na wengineo, bado udiwani, uchawa CCM etc.
Kwa mtu kama huyo mkewe kulia lia haipendezi, angetoa tu taarifa, anaumwq hiki na hiki wameshafanya hiki na hiki, mwenye kutaka kuchangia atachangiq kwa atakavyoguswa..
Ama mwanamke ugonjwa wa mumewe anataka kufanya mtaji nini?
Pesa anazo ni kiki tuuMhhh tumsaidie jamaa tuachane na hayo yote ya nyuma hela hata kama ni kweli alikuwa nazo huisha
JF/mtandaoni kila mtu ana pesa mno, utofauti wangu na ww n mm nimeongea ukweli.Inaonesha circle yako imejaa walala hoi sana.
Hiyo 46M ni pesa ya madafu tu hiyo.
Achana nae huyo, c tuko JF kila mtu ana pesaMkuu sina chuki na Diamond wala msanii yeyote ila kwa jinsi ninavyoijua entertainment industry ni wasanii wachache wenye kipato kinachozidi Tsh Milioni 2 kwa mwezi. Kungekuwa hakuna watu wa kati kama Fella wangekuwa wanapata zaidi. Ila huambulia kiduchu.
Tumchangie Lissu.Watanzania tuache Ubahili tumchqngue hata miatano kwa kila mtu...embu piga hesabu tupo watanzania zaidi ya 60m tukitoa hata miatano miatano itapatikana hela nyingi sana...tulishindwa kumsaidia Ruge basi tupambane Mkubwa Fela apone
Lisu nae apambane na hali yakeTumchangie Lissu.
hahah! Nidhamu ya pesa hana kabisa.Sasa ndo awaambie watu zile zilikuwa fix tu, ama alifanya anasa kulitiliza za bei ghari.
Yaweza kuwa sahihi pia, sitaki kubeza.
Ila kama ndo unaamua kila siku Dubai, Bondeni na totoz mingi. Hiyo hela bado inakuwa ndogo.
Ila anaacha funzo.
Ndio hapo sasaHiyo milioni 46 ni mshahara wake, HAPO hajaweka NYUMBA za wapangaji madili ya wasanii WENGINE nk, tuna safari ndefu SANA SISI masikini BADO tunajiuliza kama HAWA matajiri wanapitisha bakuli SISI je
Kwan kafir ruge (alale anapostahil) alichangiwa na makafiri tu? Si had kobaz tulitoaKOBAZ MSAIDIENI KOBAZ MWENZENU.
NYAMBAFF!
Al-mukheef kahtaan THE BIG SHOW Munch wa Annabelle Makebo gallow bird
adriz de mbusii
Mchangie wewe si unapenda kazi zakeKOBAZ MSAIDIENI KOBAZ MWENZENU.
NYAMBAFF!
Al-mukheef kahtaan THE BIG SHOW Munch wa Annabelle Makebo gallow bird
adriz de mbusii