Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

Kupanga ni kuchagua...
 
oHoo. Sasa mtatufanya wengine tushindwe kwenda huko 7/7 kwa sababu ya hilo lisanamu
 
Yaani ni kituko.......vijana wa kizazi kinachokuja wanaweza kuingiza mapato kupitia utalii kwenye sanamu hizi.
 
Utumwa ni kama huo wako wakushabikia mtu badala ya mifumo na sheria za nchi.Hakuna kiongoz mzalendo anayeweza kutaka aongoze yeye tu alafu akatumia kodi vile anavyotaka na hataki mtu mwingine amuulize.aliyoyafanya gadafi libya yanaweza kufanywa na mlibya yoyote kwasababu nchi ilikua na rasilimali.na pamoja na kwamba wametetereka ila libya bado ipo na itakuja kukaa vizuri zaidi uko mbele.wewe endeleza ujinga wakuabudu mtu anayekufa.
 
Upuuzi mtupu. Wanaoongoza kwa kujengewa masanamu ni viojgozi madikteta.

Umapotengeneza sanamu ya kiongozi aliyeua biashara, akawabambikia kesi wafanyabiashara, akatapanya pesa kwa matumizi yasiyofuata sheria, lengo lako ni nini?

Hilo sanamu kuwekwa viwanja vya Sabasaba, maonesho ya biashara yatakuwa tayari yamekwishatiwa umajisi. Watu watakaokuwa wakihudhuria wajiandaa na mabalaa mbalimbali.

Namshukuru Mungu sina bank account NBC. Ningekuwa nayo, ningefunga mara moja. Siwezi kukubali pesa yangu itumike kutengeneza masanamu.
 
Hii ya lini tena jamani
Ni mpya ya leo. Kuna watu wajinga, wanafiki na nadhani ni hayawani pia, wameidhinisha sh 420m kujenga sanamu ya mwendazake viwanja vya maonesho ya kimataifa, Sabasaba.

Nchi hii imelaanika. Laana yetu ni pale wajinga na wanafiki walipoachwa kwenye mamlaka ya kuwaamlia wenye akili.
 
Mkuu kwani kuna nini?
Mm sijakuelewa kabisaa! Naona unalalamika tu. Serikali inajenga sanamu kwa ajili ya nani?

Naomba unijibu ili nianze kutapika nyongo.
Wanajenga sanamu ya Magufuli kwa gharama ya sh 420m.
 
Daaahh.
Yaani nakatwa kodi kisha pesa wanajenga sanamu ya huyu mtu aliyelaaniwa na Mungu!!!
Bado kukatwa na narinda kabisa kwa ajiri yake,utakatwa huku unalia.kama hutaki jichinje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…