Sanamu la Magufuli na ukarabati wa kumbi za kisasa kujengwa kwa Tsh milioni 420 viwanja vya Sabasaba

masanamu yanasaidia nini? mtu akisha kufa ni amekufa, hata mjenge sanamu hafufuki na maisha yanaendelea. Tuangaikie walio hai wafu na masanamu vya nini? au ndo kuabudu mizimu? na ikumbukwe kuabudu mizimu imekatazwa mpaka kwenye vitabu vya dini.

Hapa ni kwamba kuna wahuni wanataka wapige pesa kwa unafki wa kujenga sanamu hio.
 
Ila safari hii watafute mtu anayeweza hii kazi sawaswa...... Siyo kama yule Jamaa wa Kigwangalla aliyetengeneza sanamu ya Mwalimu Nyerere kule Burigi National Park ya Chato.
 
sanamu lijengwe la baba wa taifa tuuuuuuu... hawa wengine hawana legacy waliotuachia na kama itakuwa ni hivyo... basi lianze la Mkapa kwani Mkapa ndiyo alianza kufa na Hakuna mahali kuna sanamu lake, na kama ikibidi hayo masanamu wakayajenge kwenye makaburi yao au wakayatengenezeee huko makumbusho. Halafu hawa viongozi wa mashirika waache kujipendekeza, manake naona tuaanza kutengeneza masanamu ya kuabudia ..... bull crap.
 
njia pekee ya kuwakomesha hawa Bavicha ni kumuenzi JPM, Mama anaupiga mwingi mnoo, bado kuifanya Chato kuwa mkoa wataharisha
 
Wasimpe mtu kama kigwangala akachonga kama la mwalimu
 
Hawa ndio viongozi tulionao wasiothamini jasho la watu kwamba anajiona ana haki na Wana stahili Sana kulipwa salary kwa ushenzi na matumizi mabaya ya pesa kama hivi.

Hivi punde nimeona wanakijiji wanagombea maji na vyura ,afu wengine wanachezea pesa
 
Sawa sana na wenye chuki binafsi shauri zao! Hiyo ni kumbukumbu nzuri kwa nchi yetu na kwa vizazi vijavyo. Kila la heri.
Kama kweli Wana Nia ya kumbukubu wangetumia pesa hizo kujenga shule na zahanati kuliko kufanya dhambi kwa kujenga masanamu,Kwani hayana faida yoyote na Ni chukizo kwa Mungu wa kweli.
Ila kwa sababu hii ni serikali ya wajinga jengeni tu.
Hata mkitaka kujenga na .......pembeni yake akimpepea jengeni tu.
 
Sasa hizo ni mishahara ya vijana wangapi kama wangepunguza idadi ya wahanga wa ajira?

Kwa uzoefu wa JPM kubadili matumizi ya fedha, angekua hai hizi angezibadilisha matumizi..! Haiwezekani!
Akili za hivi bora tuu Katiba mpya
 
Hii ni nzuri sana tena sana. Fedha zipo tele. Masanamu yajengwe kila mkoa. Pale Chato yawekwe manne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…