barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ndio...na kwenye noti mojawapo wanamchi watafanya petition awepo....Mwigulu amesisitiza makampuni ya simu yaanze kututoza pesa zaidi ili wapate kodi kumbe matumizi ya kodi zetu ndiyo haya kujenga sanamu ya kuchonga.