wa chini ke au me?Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Paja zinakuwaje nje, na sasa hivi wanvaa suruali?Angalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
What?This is sence
Eee Mungu nifundishe kunyamaza[emoji2960][emoji2960][emoji16]Nimejikuta nacheka kwa sauti..! Mbona wanaonekana kama wamevaa ma rapu rapu [emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Nilinunua hindi la kuchoma uganda muuzaji akaomba nimkatie kipande..
🤣🤣🤣😁Traffic kama huyo anaweza kukusimamisha halafu ukajikuta unaanza kucheka mwenyewe hadi akakushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa tu kuwa wavaaji ndio wa hovyo na sio uniformKwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Sasa pale zinavyobanwa sizipo nje tu mzeePaja zinakuwaje nje, na sasa hivi wanvaa suruali?
Siku hizi wanavaa suruali hayo mapaja unayaonaje?Angalau zinawasitiri sio kama za hawa wetu mipaja nje na zakubana sana.
Wewe utajuaje kuwa nayaonaje?Siku hizi wanavaa suruali hayo mapaja unayaonaje?
Ni kweli mkuu ni za ajabu lakini na ubaya unachangia mkuu 🤣 🤣 🤣Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
View attachment 2228307
View attachment 2228308
Mkuu haujui kama mstari wa IKWETA unapita huko?sijui kwa nini waganda wengi ni weusi tii
Wakenya hawa wameisha wavuruga watanzania wenzetu kibaya watanzania hao wanajishebedua na kuvurugwa kwao!!!! Wamenikasirisha!Eee Mungu nifundishe kunyamaza[emoji2960][emoji2960][emoji16]