Mungu wa mbinguni aturehemuπ₯ΊKutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki
Mwanamke akiamua kuaribu dunia nakuambia shetani akasome na
Aliyekuja kuaribu dunia ni aliyeleta 50/50 jamani
SASA hivi ukiwa umeoa ukiondoka tu nyumbani kwako kwenda kutafutia familia bi mdogo wako anaingia au hata mke wako akitoka tu nje unaanza kuomba dua zote yaani wamekuwa cheap sana zamani ilikuwa ngumu mno kutongoza mwanamke hasa mke wa mtu lakini sasa hivi yaani imekuwa rahisi mno kama form 6 kufanya mtiani wa darasa la kwanza
Alafu siku hizi najiuliza kwanini tunaendelea kutoa pesa za mahari wakati ni 50/50 tofauti na 50/50 tukizaa watoto hawasaidii wanaume tu peke yao wanatusaidia wote pia hawa wanawake wa siku hizi kuwatolea mahari imekuwa matumizi mabaya ya pesa kwa sababu
kuna lisenge halitowi yote haya lenyewe linakula tu
Na kuna uwezekano tukawa tunalea watoto wao kwa kufikiri ni wetu π€£π ππ
Eti uki nicheat na mimi na kucheat umekuwa upinzani wakati anaishi kwako anakula pesa zako
Kila kitu anakifanya kwa jasho lako
Alafu bado anapinzana na wewe
Tutauana jamani
mwanaume halalamiki, wewe chukua hatua unazoona zina stahiliKutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki
Mwanamke akiamua kuaribu dunia nakuambia shetani akasome na
Aliyekuja kuaribu dunia ni aliyeleta 50/50 jamani
SASA hivi ukiwa umeoa ukiondoka tu nyumbani kwako kwenda kutafutia familia bi mdogo wako anaingia au hata mke wako akitoka tu nje unaanza kuomba dua zote yaani wamekuwa cheap sana zamani ilikuwa ngumu mno kutongoza mwanamke hasa mke wa mtu lakini sasa hivi yaani imekuwa rahisi mno kama form 6 kufanya mtiani wa darasa la kwanza
Alafu siku hizi najiuliza kwanini tunaendelea kutoa pesa za mahari wakati ni 50/50 tofauti na 50/50 tukizaa watoto hawasaidii wanaume tu peke yao wanatusaidia wote pia hawa wanawake wa siku hizi kuwatolea mahari imekuwa matumizi mabaya ya pesa kwa sababu
kuna lisenge halitowi yote haya lenyewe linakula tu
Na kuna uwezekano tukawa tunalea watoto wao kwa kufikiri ni wetu π€£π ππ
Eti uki nicheat na mimi na kucheat umekuwa upinzani wakati anaishi kwako anakula pesa zako
Kila kitu anakifanya kwa jasho lako
Alafu bado anapinzana na wewe
Tutauana jamani
Wewe unakataa vipi ndoa sasa hivi ukikataa jamii inakuona kama ndoa ni wewe mwenyewe yaani unaliwa weweKwa nn uishi na kansa???? Hivi ile kampeni ya wavulana kataka ndoa huisikii???!!!!
Au mada ikiwa na neno mwanamke inavutia na kupata wachangiaji!!!!????
Wavulana elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta pesa
Ila hili nalo nenoKataa ndoa walishayaona yote hayo.
Kuishi na mwanamke dunia ya sasa ni mzigo tena mzito.
Ndio maana serikali inataka watu waoane/waoe ili wawe wanatabirika kirahisi.
Makanisa wanataka uoe ili wawe wanapata sadaka za uhakika.
azingatie neno WavulanaKwa nn uishi na kansa???? Hivi ile kampeni ya wavulana kataka ndoa huisikii???!!!!
Au mada ikiwa na neno mwanamke inavutia na kupata wachangiaji!!!!????
Wavulana elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta pesa
na nyie wenzetu ndoa zenu zilivyo ngumu....Mimi miaka 5 nyuma kuna shetani nimemtwanga taraka,nikavuta toto la kinyamwezi(mixer mwarabu kama kaka yake Roosi tamu).Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki
Mwanamke akiamua kuaribu dunia nakuambia shetani akasome na
Aliyekuja kuaribu dunia ni aliyeleta 50/50 jamani
SASA hivi ukiwa umeoa ukiondoka tu nyumbani kwako kwenda kutafutia familia bi mdogo wako anaingia au hata mke wako akitoka tu nje unaanza kuomba dua zote yaani wamekuwa cheap sana zamani ilikuwa ngumu mno kutongoza mwanamke hasa mke wa mtu lakini sasa hivi yaani imekuwa rahisi mno kama form 6 kufanya mtiani wa darasa la kwanza
Alafu siku hizi najiuliza kwanini tunaendelea kutoa pesa za mahari wakati ni 50/50 tofauti na 50/50 tukizaa watoto hawasaidii wanaume tu peke yao wanatusaidia wote pia hawa wanawake wa siku hizi kuwatolea mahari imekuwa matumizi mabaya ya pesa kwa sababu
kuna lisenge halitowi yote haya lenyewe linakula tu
Na kuna uwezekano tukawa tunalea watoto wao kwa kufikiri ni wetu π€£π ππ
Eti uki nicheat na mimi na kucheat umekuwa upinzani wakati anaishi kwako anakula pesa zako
Kila kitu anakifanya kwa jasho lako
Alafu bado anapinzana na wewe
Tutauana jamani
huyo jamaa huwa ni mtoro kwenye vikao vyetu wanaume, yan watoto wawili baba tifauti unaweka ndan na mahari milion daahKuna fala mmoja mchimba madini kaopoa demu aliyeachika zaidi ya mara mbili huku akiwa na watoto wawili kila mtoto na baba yake! Uhusiano wao haujatimiza mwaka demu anaomba atumiwe nauli arudi kwao akidai kachoka kupigwa na huyo jamaa yake mpya akidai mke wake huyo anapigiwa sana simu na wanaume wanaotaka kumuonjea mpiko wakidai ni mzuri sana. Huyo fala alitoa mahari milioni moja na ushee huku akitoa bonus ya hela kwa wazazi wa demu walimiwe mashamba yao. Kumbe jamaa kaoa demu aliyeacha na kuachika kwa waume zake wa awali, leo hii anampiga mtoto wa watu kwa wivu wa kimapenzi. Jamaa ni mpuuzi alioa bila kuuliza historia ya kimahusiano ya kimapenzi na ndoa ya huyo mke ikoje, akajibebea fasta kwa kumuona ni pisi kali kumbe kaoa mlupo/mbarara, siku si nyingi uhusiano wao wa kimapenzi na kindoa utasambaratika