mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 992
- 3,146
Ngoja nikupe like maana zako nimezipata mpaka zimekaa na kumwagika.Kwa nn uishi na kansa???? Hivi ile kampeni ya wavulana kataka ndoa huisikii???!!!!
Au mada ikiwa na neno mwanamke inavutia na kupata wachangiaji!!!!????
Wavulana elekezeni nguvu zenu kwenye kutafuta pesa
Hata hivyo maoni yako ni best