Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Ila na nyie wanaume wa sasa mnapenda sana kulalamika. Mkiona wazee wetu waliishi mpk kuzikana mnaona labda ilikuwa easy. Watu walipigwa matukio, ni just walijua tu vp na nini wanavumilia na nini wanafanya ili ndoa ziendeleee. Nowadays wanaume mnalia sanaaaaa. Halafu hivyo mnavotusema sasa...utadhani matatizo yote wanayo wanawake, wakati hata nyie sio malaika. Mnatupiga matukio mpk tunatoka vitambi kwa stress.