Mtoa mada, kutoa mahari ni agizo la Mungu kwa mwanaume anaetaka kuoa, hivyo kutoa mahari ni lazima.
Ila wadada hapa mnazungumziaje, mwanaume unajipinda unamhudumia girlfriend wako, aliekuzungusha miezi 9 kabla ya kumpata, kumbe anachepuka na mtu ambae alimtongoza ndani ya wiki 2 tu akamla..unamlipia apartment, bills, unamuonesha effort, upendo, bora achepuke na aliehonga zaidi au alieonesha upendo zaidi, anachepuka na mwanaume ambae hajawahu mfanyia hata robo ya uliofanya
Uhalisia wa mahusiano ukiutafakari sometimes unauma
Kelsea Seran binti kiziwi naa Shadeeya