Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Mbona kinyonge!?Sawa
Mbona kinyonge!?Sawa
kwanza hiki kitambi kikoje kikoje?, maana weye ni penda kula kula.
halafu binti kiziwi lile tambi lako la bia bado kubwa?, nataka nifutie simu yangu.
Mtoa mada, kutoa mahari ni agizo la Mungu kwa mwanaume anaetaka kuoa, hivyo kutoa mahari ni lazima.pia hawa wanawake wa siku hizi kuwatolea mahari imekuwa matumizi mabaya ya pesa kwa sababu
kuna lisenge halitowi yote haya lenyewe linakula tu
Na kuna uwezekano tukawa tunalea watoto wao kwa kufikiri ni wetu 🤣
sasa kama mnasumbua na kusaliti msilalamikiwe?Kama umeshindwa kuishi na mwanamke tafuta mwanaume uishi nae. Mnapenda sana kulalamika utadhani mmelazimishwa.
Mapenzi yana ujingajinga tu! Saaingine kuhofia kuachwa na mtoa huduma😅Mtoa mada, kutoa mahari ni agizo la Mungu kwa mwanaume anaetaka kuoa, hivyo kutoa mahari ni lazima.
Ila wadada hapa mnazungumziaje, mwanaume unajipinda unamhudumia girlfriend wako, aliekuzungusha miezi 9 kabla ya kumpata, kumbe anachepuka na mtu ambae alimtongoza ndani ya wiki 2 tu akamla..unamlipia apartment, bills, unamuonesha effort, upendo, bora achepuke na aliehonga zaidi au alieonesha upendo zaidi, anachepuka na mwanaume ambae hajawahu mfanyia hata robo ya uliofanya
Uhalisia wa mahusiano ukiutafakari sometimes unauma Kelsea Seran binti kiziwi naa Shadeeya
Babe nakutafutaMapenzi yana ujingajinga tu! Saaingine kuhofia kuachwa na mtoa huduma😅
Au kumuaminisha umetulia unamsubiri yeye tu! Kama ndio unaforce ndoa hapo ndo penyewe, no sex before marriage 😊
Nipoo niambie!Babe nakutafuta
Pm please hapa naona aibu🫣Nipoo niambie!
Kwani kuna mtu anakujua humu? Kuwa huru banaPm please hapa naona aibu🫣
Uwiiii 😁Kwani kuna mtu anakujua humu? Kuwa huru bana
Pole sanaWanawake ni matapeli
Kulalamika imeshawahi kusaidia nini? Wakati umefika sasa mtafute alternative nyingine. Hakuna kiumbe kitakacho badilika au chenye mpango wa kubadilika maisha ni haya hayasasa kama mnasumbua na kusaliti msilalamikiwe?
Tatizo watu wabishiKATAA NDOA
dada fatilia tu wanandoa weng mwanaume hutangulia mbele za haki.Mwanamme unaanzaje kufa kwa maumivu au stress. Nyie ndio mlitakiwa muwe ngangari. Halafu si huwa mnakimbiaga nyumba nyie, mnaturudia saa 8 za usiku au hata alfajiri. Sasa hizo stress mnazitoa wapi ati. Mna vimichepuko kila kona, ati mnakimbia wake zenu. Halafu useme mnakufa kwa stress. Kufeni tu mtuache sie tuinjoy....Just kidding