Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

CHADEMA hawana umaarufu wala kura Zanzibar. Matamko kuhusu Zanzibar na OIC ni mkakati wa CHADEMA KUTAFUTA KUUNGWA MKONO, UMAARUFU NA KURA ZANZIBAR
 
Wazanzibari hawajihesabu kama Watanzania. Pia Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Ukielewa ukweli huo hutashangazwa na alichosema huyo bwana.
 
Safi sana. Mwana kulitaka.
 
Watu wa bara licha ya kuwa ya tunazo dini, ila kunautofauti mkubwa sana na watu wa Zanzibar

Mwislamu wa bara ameelimika zaidi ya mwislamu wa Zanzibar

Hii ni nini maana yake
Muislam wa Zanzibar hata awe kama mmatumbi anadai yeye ni mwarabu.
 
Naunga mkono hoja. Wakishindwa sasa hivi wasije kulia lia huko mbeleni sijui mfumo Kristo, sijui Rais kafiri anatukandamiza. Mnaye wa kwenu, mshindwe wenyewe tuuu...na mkishindwa msije kutupigia kelele huo mbeleni.
Upo sahihi hata mimi nawaunga mkono. Huu ni wakati wao wafanye fasta maana opportunity never come twice.
 
Wazanzibar wasipofanikisha mambo yao kwa kipindi hiki wasije wakalalamika tena kuwa wanakandamizwa na watanganyika.
'Timing'.

Subiri Samia apate tena nafasi nyingine uone itakavyo kuwa.
 
Masikini ya Mungu!
Mtu kama huyu ukute anashida na ada ya Shule au kaishia darasa la tatu.

Anateuliwa mtu wako unashangilia lkn huna unachofaidi hata ukitaka kuonana naye humpati.
 
Watu wa bara licha ya kuwa ya tunazo dini, ila kunautofauti mkubwa sana na watu wa Zanzibar

Mwislamu wa bara ameelimika zaidi ya mwislamu wa Zanzibar

Hii ni nini maana yake
Wazanzibar kile kitendo Cha kubinyabinya vichwa vya watoto wakiwa wachanga ili vikae mkao wa kuvaa baragashia vinawaathiri sana.
 
Angesema mtu wa bara hivi angeuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…