Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🎯👍Wazanzibari hawajihesabu kama Watanzania. Pia Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Ukielewa ukweli huo hutashangazwa na alichosema huyo bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🎯👍Wazanzibari hawajihesabu kama Watanzania. Pia Zanzibar ni nchi ya Kiislamu. Ukielewa ukweli huo hutashangazwa na alichosema huyo bwana.
🎯👍🤝Na huo ndiyo ukweli ulio kwa wazanzibar,hawa jamaa awe Upinzani au chama tawala,wanauzalendo sana na mkoa wao..... tofauti na huku bara tunapuuzia puuzia,ila hawa jamaa wako serious sana na ardhi yao.
Alichokisema huyu dingi ndiyo hisia halisi za wazanzibar wote
Mkuu iwe huru mara ngapi?? autonomous maana yake nini??Ningemuona ana akili kama angeleta hoja ya Zanzibar huru kipindi hiki Rais wa JMT akiwa Mzanzibari kwani ingekuwa hatua nzuri ya kwenda huko wanapotaka.
🎯👏Naunga mkono hoja. Wakishindwa sasa hivi wasije kulia lia huko mbeleni sijui mfumo Kristo, sijui Rais kafiri anatukandamiza. Mnaye wa kwenu, mshindwe wenyewe tuuu...na mkishindwa msije kutupigia kelele huo mbeleni.
Mkuu hivi wenye akili ni kina nani?? Wavaa kobaz walio na nchi yao Zanzibar au wavaa rozali wanaoikana nchi yao ya Tanganyika???Wavaa kobazi hawaja wahi kuwa na akili
Mash AllahWatu kama hawa wanasababisha waislamu waonekane wapumbavu
Mkuu ukweli wa mambo ni kwamba wakoloni walipoingia Afrika walikuta kila kabila hapa ni nchi/taifa linalojitagemea.usidanganyike nyerere sio shida,shida ni walioungwa ndo wanashindwa wenyewe by the way ukikaa ukatulia Africa hatutakiwi kuhubiri kitu kinachoitwa muungano,kuvunja muungano kama sisi wenyewe hatukujitenga walitutenganisha wakoloni na tukapambana kutoka huko, maana yake tulijikomboa pia kutoka kwenye partition waliyotufanyia wakoloni nje na hapo basi tutakuwa bado tuna chembechembe za urithi wa ukoloni kama bado tunahubiri kutengana!.