Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

Mbona wakiristo wapo.ktk Jumuia ya VATICAN?

Kwamba hao wakiristo waliojiunga huko Vatican wamejiunga kwa mgongo wa Nchi? Kwamba Tanzania imejiunga na Vatican kama umoja wa nchi za kikristo?
 
Kwamba vipngozi wa serikali wakishakua wa dini yako basi mambo ya dini yako ndio yafanyike. Africa tulinyimwa uwezo wa kufikiri na dini ndio ikatuzika mazima😭😭😭
 
Kama vile Malawi eeh, nchi ya "Kiislam kamili". Si ndiyo?
 
Mimi mvaa majuba mzaliwa wa makunduchi Zanzibar nanyamaza maana baba yangu mruguru yarabi salama
 
BY CHADEMA- mbona untaka kuwanyima sifa na stahiki yao mkuu
 
Makamu wa Rais na Spika wa Bunge si Waislamu, hapo kachapia.
 
ana point. zanziber ikiona oic kuna faida ijiunge tu, chamsingi wasijesababisha iron dromes zikaelekezwa kwetu
 
Haya sio mambo ya kuyachekelea
 
Mkuu kwani aliyosema kuhusu safu ya uongozi nchini ni uongo??? Anahaki ya kutoa maoni yake, hajalazimisha mtu!!!
Mimi mvaa majuba mzaliwa wa makunduchi Zanzibar nanyamaza maana baba yangu mruguru yarabi salama
🤣 🤣 🤣
 
Mzee yuko sawa kabisa, pengine hapo ndipo Muungano huu usioeleweka tutauvunja rasmi. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…