Sasa hivi viongozi WOTE wa juu ni waislamu, Zanzibar iingie OIC- by mzanzibari mkorofi.

πŸŽ―πŸ‘πŸ€
 
Ningemuona ana akili kama angeleta hoja ya Zanzibar huru kipindi hiki Rais wa JMT akiwa Mzanzibari kwani ingekuwa hatua nzuri ya kwenda huko wanapotaka.
Mkuu iwe huru mara ngapi?? autonomous maana yake nini??
 
Naunga mkono hoja. Wakishindwa sasa hivi wasije kulia lia huko mbeleni sijui mfumo Kristo, sijui Rais kafiri anatukandamiza. Mnaye wa kwenu, mshindwe wenyewe tuuu...na mkishindwa msije kutupigia kelele huo mbeleni.
πŸŽ―πŸ‘
 
Wavaa kobazi hawaja wahi kuwa na akili
Mkuu hivi wenye akili ni kina nani?? Wavaa kobaz walio na nchi yao Zanzibar au wavaa rozali wanaoikana nchi yao ya Tanganyika???
 
Mkuu ukweli wa mambo ni kwamba wakoloni walipoingia Afrika walikuta kila kabila hapa ni nchi/taifa linalojitagemea.

Wakoloni walituunganisha mataifa/nchi (makabila) kwa kutuswaga pamoja lengo lao ni Kufuta utaifa wetu kwa kuuita utaifa wetu ukabila ili iwe rahisi kututawala kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…