Sasa imekuwa wazi, kanda ya ziwa ina watanzania asilimia 25 tu


Tatizo anataka kulazimisha kwamba Kanda ya Ziwa ni wasukuma pekee. Wasukuma wapo Geita , Simiyu na Mwanza. Ila Kagera na Mara ni makabila tofauti.
 

Kwa hivyo tunaenda kuwaiga Kenya ambapo Mt Kenya ndio huamua Rais?
 
Co
Kuna co relation gani Kati ya msukuma na mkurya au muha au mfipa?
 
Ongeza na mkurya, mjita , mkerewe na mzanaki.
Kwa maoni yangu watu wa mwanza na mara wako karibu zaidi kuliko watu wa mwanza na kagera maana Wahaya wengi wamejitenga sana kwa umachinoo mwingi.Hata migodini utawakuta wakurya na wasukuma wanashirkiana kuliko wahaya na wasukuima au wakurya.
 
Mgombea yoyote mwenye akili timamu hawezi ignore 15 milion .... akaenda Kanda zenye watu 8 milion kama kaskazini,na nyanda ya kusini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maoni yangu watu wa mwanza na mara wako karibu zaidi kuliko watu wa mwanza na kagera maana Wahaya wengi wamejitenga sana kwa umachinoo mwingi.Hata migodini utawakuta wakurya na wasukuma wanashirkiana kuliko wahaya na wasukuima au wakurya.
Mwanza imejengwa asilimia kubwa na watu wa kutoka Mara ,,,,,,,Kagera wengi wako kahama .hasa waangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
una elimu ya kuokoteza
Kama umegundua hili una akili mno mkuu hukutakiwa kuwemo hapa afrika nadhani Mana mwenzako Elon musk aliondoka afrika Yuko USA anafanya wonders. Na Ni kweli elimu yangu nimeunganishaunganisha. Mwenzako Elon hajaenda havard Ila anaaajili walioenda havard.
Kamata tunda kwa pongezi
 
Ngome ndio Nini?. Hakuna Cha ngome ya CCM Wala nini?
Mimi ndo nakwambia upinzani walichukua majimbo 2010 tu ila miaka ya nyuma yote walichukua CCM niambie unaweza kusema mwanza ni ngome ya wapinzani kisa walichukua majimbo kipindi kile.
 

Porojo nyingi hoja hakuna
 

Acha ubishi wa kikabila. Unalazimisha nchi nzima iwe Kanda ya ziwa? Yani serikali inatambua Kanda ya magharibi unasema siyo rasmi? Mkaguzi wa Elimu Kanda ya Magharibi anasimamia mikoa ya Shinyanga, Tabora na Kigoma, Sasa nashangaa wewe unayesema Kanda ya magharibi siyo rasmi.o. Kanda ya magharibi ipo rasmi ndio maana Kuna JaJi mfawidhi wa Kanda ya magharibi. Hayo ya igunga na nzega kuwa ya ziwa ni imagination yako tu.
 
Mimi ndo nakwambia upinzani walichukua majimbo 2010 tu ila miaka ya nyuma yote walichukua CCM niambie unaweza kusema mwanza ni ngome ya wapinzani kisa walichukua majimbo kipindi kile.

Mwanza labda misungwi na Kwimba (ingawa diallo alishasema waliiba kura). Ila Magu, Nyamagan, Ukerewe, Sengerema na Ilemela Ni 50 kwa 50.
 
Ukisema mkaguzi wa elimu Kanda ya magharibi anasimamia shinyanga..Mimi nitakuletea BOT Kanda ya ziwa inasimamia mikoa ya tabora na kigoma ...
Hospital ya Kanda bugando inahudumia mikoa ya kigoma na tabora.
Sijui umenipata hapo
Multinational franchise za coca-cola,Pepsi ,TBL na Serengeti Kanda ya ziwa zinahudumia mikoa ya tabora na kigoma ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…