Uchaguzi 2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

Hivi Mbunge wa jimbo na Mkuu wa Mkoa nani ni "bosi" kwenye utumishi wa umma,nk??
 
Hapana nipo Zambia Mkuu!!!! Yericko Jasusi inabidi aweke pigamizi kwa Mpinzani wake Bashite kwamba Sio Paul Makonda itababidi akapinge NEC.
Mbona Mwigullu na Kigwangalla wanadunda!

Ukishaingia barabara ya lami hatuangalii vichochoro ulivyotokea!
 
Uchaguzi huu Said Bagaile na Lameck Madelu lazima wapingwe NEC kwa kutumia majina ambayo sio yao.
Hahahaaaa......... Hiyo aliiweza Augustino Lyatonga Mrema pekee chini ya uwakili wa Dr Masumbuko rip!
 

Makonda asubirie uteule wa nafasi 10 za rais kwa viti maalum vya bunge...
 
Hahahaaaa......... Hiyo aliiweza Augustino Lyatonga Mrema pekee chini ya uwakili wa Dr Masumbuko rip!
Sasa mwaka huu wanatemeshwa ndoano wote maana US/UK/WB/IFM are watching na Mzee baba alishasema uchaguzi utakuwa huru na haki so inabidi haki ionekane kweli.

Said Bagaile,Lameck Madelu na Daud Albert Bashite nyaraka zao zipo halisi za majina yao,hayo wanayotumia kwasasa ndio huo wizi(forgery) tunayozungumzia hapa.
 
Kuna watu hawafai kuwa WABUNGE maana porojo hawewezi..Ubunge wanafaa watu km Yericko ambao wanaweza kusema A wakati wameona B. Makonda bado tunamdai Dar akienda bungeni tutapoteza hazina kubwa Dar es salaam. Dar chini ya makonda mambo mengi yameenda safi sana.
Kumtoa DAR na kutuletea Jokate ni kulifanya jiji la dar litulie tena kimaendeleo.

Kumtoa Makonda dar ni kumpoteza kisiasa na kulifanya Jiji kusinyaa kimaendeleo. Rais Magufuli usikubali kijana mdogo aondoke DAR.
 
Kawadanganye wenzako wasio na upeo wa kufikiria
Mkuu,kusoma hujui hata picha nayo huoni?!
Usiweke hisia na uchama, Makonda ni mtu aliyejipambanua vyema katika nyanja ya siasa licha ya mapungufu yake kadha wa kadha..!
Na ana uthubutu kuliko walio wengi..!

In God we Trust
 
Unamjua waziri wa katiba na sheria lakini?!
 
Nani anamfahamu Bashite?
Yani Makonda wanamuweka na Yeriko kweli ... Alafu akishinda mseme ameiba kura ... wana Dar es salaam wangapi wanamfahamu Yeriko Nyerere ... That will not be a war... it’s massacre

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…