Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

Brother wanawake sio wakuwaamini hasa wenye kujifanya wanadini au wanamisismamo
Dini haibadili tabia ya mtu. Mfano wakati Yakobo ana transfer Grace toka kwake kwenda kwa Joseph, alijua kabisa mwanae ana tatizo la kutotunza siri na yeye hakumshauri kuhusu hilo.

Ndio maana baada ya Joseph kuota ndoto akaisimulia bila kujali athari zake baadae.
Mungu akikupa grace haiondoi tabia ila inaidhihirisha maana unakuwa na confidence.
 
Ngoja uzeeke uumwe ukae kitandani uone kama kuna kiumbe atakuja kukuhudumia. Pona yako uwe na pesa ili uweze kuajiri nurse
Kizazi hichi cha kiwingu na p2 unafikiri kuna kuzeeka basi🤔
 
Ngoja uzeeke uumwe ukae kitandani uone kama kuna kiumbe atakuja kukuhudumia. Pona yako uwe na pesa ili uweze kuajiri nurse
Usinitishie 🧐🧐nkiugua ntakua seliani pale
 
Back
Top Bottom