Sasa nimeamini kuwa akutukanae hakuchagulii Tusi, Asante sana Rais Samia....!!!

Da huenda ni kweli ajira zipo ila kosa lake hajazitaja ni zipi... I'm sorry chief Hangaya wewe ni kilaza
 

Makamu wa rais angelikuwa kassim na hapo hapo kukaimu nafasi ya marehemu na kuwa rais wa JMT ucngethubutu kusema "Kipengele cha Makamu wa Rais kisiwepo"
 
Mnamsingizia

Kuna graduate Ana watoto 3 namfaham, Ana advanced diploma in accounting, Na other course, alipoteza Ajira baada ya kampuni alipokuwa anafanya Kazi kufilisika.

Kapambana Kwa miaka 3 toka 2017, akaniambia brother, mambo magumu, pita pita kumwangalia shemeji yako, natafuta boda Boda mahali ambapo sifahamiki nikawe Boda Boda.

Kwa kweli laiti angalijua Hakuna fursa bila mahangaiko mengi Sana Na kujali asingethubutu kutukana wadau wanaohangaika!
 
alie shiba amjuh mwenye njaaa
 
Unahangaika sana wewe Sukuma gang..

Kwa Takwimu kama hizi unadhani Kazi hazipo? Uliza mafundi















 
Kwani akiendesha bodaboda mtaani kwake kuna shida gani.tatizo la vijana was tz ndo hilo .angeanza na boda moja .who knows in 2 yrs time angekuwa na boda 20
Maana ni msomi angestudy hyo industry, akope mahali etc
 
Kuna nchi ina lirais tapeli linalolaghai wananchi:

Kwenye kampeniπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuingia IkuluπŸ‘‡πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 

Ndiyo tatizo la wabongo,,,,ukishajiona umesoma unaona aibu kufanya mishe zingine,,,miaka yote iyo unasubiri uvishwe suti na tai+mokaz!!!!! Eti natafuta boda Boda mahali ambapo sifahamiki nikawe Boda Boda 😁 acheni kuchaguwa kaxi,,,,,hata kusafisha vyoo piga tuu mzehe.
 
Kwani akiendesha bodaboda mtaani kwake kuna shida gani.tatizo la vijana was tz ndo hilo .angeanza na boda moja .who knows in 2 yrs time angekuwa na boda 20
Maana ni msomi angestudy hyo industry, akope mahali etc

Mwenyewe nimestaajabu dada. Miaka yote iyo anasubiri avishwe suti and tai + mokaz akawe m2 wa ofisini,,,kwa staili iyo watasubili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…