Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Hayo marekebisho hayafai kwenda Bungen?Mkuu kwani zile hazikuwa siri ....Zilikuwa siri ila zilivuja tu 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo marekebisho hayafai kwenda Bungen?Mkuu kwani zile hazikuwa siri ....Zilikuwa siri ila zilivuja tu 😅😅😅
Me Simjui huyo mungu unayemtaja wala Vitu kama jehanam so swali lako kwangu halina mashikoNa mimi kikakuuliza kwa ujumla je ubaya wa binadamu ni upi hadi huyo mungu wako akaumba jehanamu ? Kama ubaya wa binadamu upo ndiyo sababu mungu kaumba jehanamu sasa swali lako ni upumbavu au unataka kutuambia waarabu jehanamu awawezi kwenda ?
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Umejuaje kama hayakwenda bungeni? Au ulitaka uonyeshwe ndo ujue yameenda Bungeni?Hayo marekebisho hayafai kwenda Bungen?
maboresho yote Yaliyopendekezwa na TEC yamefanyiwa kaziTEC wapate fundisho. Watanzania sio wajinga kama enzi za mwalimu. Hata waumini wao ni watu walioamka sasa wanajua maslahi na umoja wa kitaifa. Zile ajenda za kikoloni za kuwaweka juu zimepita.
Kazi iendeleeb
KwHyo Tatizo ni uislamu na sio MkatabaWaarabu hatuwataki mbona hamaikii? Uarabu na uislamu ni kitu kimoja. Tutaanza kushuhudi ugaidi ukitamalaki nchini
Anzia lini marekebisho ya muswada ndani ya Bunge ulikuwa siri ata Public Statement isitolewe?Umejuaje kama hayakwenda bungeni? Au ulitaka uonyeshwe ndo ujue yameenda Bungeni?
Sawa je waarabu watitufanyia mema gani waafrica walipo kuwa wakoloni wetu zaidi ya kutuona nyani tu na siyo binadamu ...acha kujidanganya hakuna mjomba kwa wazungu wala waarabu atakaye kuja kutuletea maendeleo hao wote wanakuja kwa tamaa ya kuvuna mali kwenye nchi zetuMe Simjui huyo mungu unayemtaja wala Vitu kama jehanam so swali lako kwangu halina mashiko
NdiyoKwHyo Tatizo ni uislamu na sio Mkataba
Mkuu Hii ndo serikali Mambo yote ni confidential na classfied imformation!Anzia lini marekebisho ya muswada ndani ya Bunge ulikuwa siri ata Public Statement isitolewe?
Au ndo yaleyale mnaomba maoni ya wadau huku mnachoombea maoni mmekificha?
😅😅 Bora we umesema ukweliNdiyo
Mwarabu hakuwahi kutesa waafrika mahali popote pale mwarabu ameanza kuingia Africa mashariki katika karne ya 7 kuelekea nane kwenye miaka ya 750 AD na biashara ya utumwa imeanza baada ya mwarabu kuondoka miaka ya 1800s na miaka hiyo ndo kuna wazungu bara zima..Sawa je waarabu watitufanyia mema gani waafrica walipo kuwa wakoloni wetu zaidi ya kutuona nyani tu na siyo binadamu ...acha kujidanganya hakuna mjomba kwa wazungu wala waarabu atakaye kuja kutuletea maendeleo hao wote wanakuja kwa tamaa ya kuvuna mali kwenye nchi zetu
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Hakuna kilichorekebishwa kwenye IGA, IGA ilipaswa kufutwa na kuanzisha nyingine na msingi wa IGA au BIT hauwezi kuwa siri cos unakuwa na ushirikiano wa nchi na nchi! Labda nikuulize kuoitia hiyo IGA nyinyi Tanzania mpewa mnaweza kwenda kufanya nini Dubai?Mkuu Hii ndo serikali Mambo yote ni confidential na classfied imformation!
Hujasikia Kuwa Dubai tunaingia Bila Visa,Hakuna kilichorekebishwa kwenye IGA, IGA ilipaswa kufutwa na kuanzisha nyingine na msingi wa IGA au BIT hauwezi kuwa siri cos unakuwa na ushirikiano wa nchi na nchi! Labda nikuulize kuoitia hiyo IGA nyinyi Tanzania mpewa mnaweza kwenda kufanya nini Dubai?
Anayeendelea kulaumu baada ya maboresha haya huyo ni mjinga sawa na aliyekuwa anasifia kabla ya maboresho..!!Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.
Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.
Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.
TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.
- Mkataba maximum miaka 30
- Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
- Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
- Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
- Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
- Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
- Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza?
Safi sana mkuu umemaliza kila kitu sina cha kuongezea ngoja niupin uzi wakoAnayeendelea kulaumu baada ya maboresha haya huyo ni mjinga sawa na aliyekuwa anasifia kabla ya maboresho..!!
CC FaizaFoxy, ChoiceVariable
Tatizo siyo Waarabu, tatizo Waislam. Ingekuwa huyo Mwarabu anaitwa George Elias, wala usingesikia malalamiko, ungeona anasifiwa.Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.
Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.
Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.
TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.
- Mkataba maximum miaka 30
- Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
- Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
- Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
- Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
- Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
- Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza?
Mie haya ya banadari yameshapoita, napiga chapuo tu, kimeeleweka.Anayeendelea kulaumu baada ya maboresha haya huyo ni mjinga sawa na aliyekuwa anasifia kabla ya maboresho..!!
CC FaizaFoxy, ChoiceVariable