Sasa nimegundua, tatizo sio uwekezaji wala Mkataba bali ni Waarabu kuwekeza

Na mimi kikakuuliza kwa ujumla je ubaya wa binadamu ni upi hadi huyo mungu wako akaumba jehanamu ? Kama ubaya wa binadamu upo ndiyo sababu mungu kaumba jehanamu sasa swali lako ni upumbavu au unataka kutuambia waarabu jehanamu awawezi kwenda ?

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Me Simjui huyo mungu unayemtaja wala Vitu kama jehanam so swali lako kwangu halina mashiko
 
TEC wapate fundisho. Watanzania sio wajinga kama enzi za mwalimu. Hata waumini wao ni watu walioamka sasa wanajua maslahi na umoja wa kitaifa. Zile ajenda za kikoloni za kuwaweka juu zimepita.
Kazi iendeleeb
 
maboresho yote Yaliyopendekezwa na TEC yamefanyiwa kazi
 
Umejuaje kama hayakwenda bungeni? Au ulitaka uonyeshwe ndo ujue yameenda Bungeni?
Anzia lini marekebisho ya muswada ndani ya Bunge ulikuwa siri ata Public Statement isitolewe?

Au ndo yaleyale mnaomba maoni ya wadau huku mnachoombea maoni mmekificha?
 
Me Simjui huyo mungu unayemtaja wala Vitu kama jehanam so swali lako kwangu halina mashiko
Sawa je waarabu watitufanyia mema gani waafrica walipo kuwa wakoloni wetu zaidi ya kutuona nyani tu na siyo binadamu ...acha kujidanganya hakuna mjomba kwa wazungu wala waarabu atakaye kuja kutuletea maendeleo hao wote wanakuja kwa tamaa ya kuvuna mali kwenye nchi zetu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Anzia lini marekebisho ya muswada ndani ya Bunge ulikuwa siri ata Public Statement isitolewe?

Au ndo yaleyale mnaomba maoni ya wadau huku mnachoombea maoni mmekificha?
Mkuu Hii ndo serikali Mambo yote ni confidential na classfied imformation!
 
Sawa je waarabu watitufanyia mema gani waafrica walipo kuwa wakoloni wetu zaidi ya kutuona nyani tu na siyo binadamu ...acha kujidanganya hakuna mjomba kwa wazungu wala waarabu atakaye kuja kutuletea maendeleo hao wote wanakuja kwa tamaa ya kuvuna mali kwenye nchi zetu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Mwarabu hakuwahi kutesa waafrika mahali popote pale mwarabu ameanza kuingia Africa mashariki katika karne ya 7 kuelekea nane kwenye miaka ya 750 AD na biashara ya utumwa imeanza baada ya mwarabu kuondoka miaka ya 1800s na miaka hiyo ndo kuna wazungu bara zima..

Hujiulizi kama Biashara ya watumwa ilikuwa kipind cha waarabu kwanini hujawahi kusikia Mwarabu mweusi..
Kaa chini utafakari na Muda mwingine ukija kutetea Hoja HAKIKISHA UNAFACTS SIO POROJO ZA VIJIWENI
 
Mwamakula ilimponyoka akayasema waliyoficha kwenye nafsi zao,kwamba Dp World watajenga misikiti hawatakiwi kupewa bandari.shida ni dini siasa ilikua kivuli.
 
Mkuu Hii ndo serikali Mambo yote ni confidential na classfied imformation!
Hakuna kilichorekebishwa kwenye IGA, IGA ilipaswa kufutwa na kuanzisha nyingine na msingi wa IGA au BIT hauwezi kuwa siri cos unakuwa na ushirikiano wa nchi na nchi! Labda nikuulize kuoitia hiyo IGA nyinyi Tanzania mpewa mnaweza kwenda kufanya nini Dubai?
 
Hujasikia Kuwa Dubai tunaingia Bila Visa,
Tunapewa Opportunity za kibiashara pia
 
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.

Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.

Wananchi walitaka maboresho ya kimktaba.

TLS ilitaka maboresho ya mkataba na ASASI zote za kiraia na zisizo za kiraia zilitaka Mabiresho ya mkataba na TEC na TAAsisi zingine hazikupinga Uwekezaji.

MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
  • Mkataba maximum miaka 30
  • Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
  • Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
  • Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
  • Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
  • Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
  • Mkataba huu hauhusishi Bandari yoyote mwambao Bahari ya Hindi wala maziwa makuu.
Sasa kwa maboresho hayo Bado wengi nimeona wamefungua Nyuzi za kuilaumu TEC na baadho ya Wananchi na ASASI nyingine za kiraia.

Naomba kuwauliza kuwa Tatizo ni MKATABA AU Tatizo ni waarabu kuwekeza?
Anayeendelea kulaumu baada ya maboresha haya huyo ni mjinga sawa na aliyekuwa anasifia kabla ya maboresho..!!

CC FaizaFoxy, ChoiceVariable
 
Tatizo siyo Waarabu, tatizo Waislam. Ingekuwa huyo Mwarabu anaitwa George Elias, wala usingesikia malalamiko, ungeona anasifiwa.

Hii nchi wajinga ni wengi.

Mama samia ni kichwa, unafikiri hata TEC, nia na madhumuni ilikuwa ni uchokozi tu wa wazi, kwani walishindwa kuongea na serikali kimya kimya.

Hata TEC imewauma jana, nilikuwa nawatazama walivyovimbisha nyuso.
 
Ni kweli waarabu ni tatizo.

Nadhani unajua historia walichowafanya babu zetu.

Na Pia mfano mdogo mwingine kule Loliondo.
 
Anayeendelea kulaumu baada ya maboresha haya huyo ni mjinga sawa na aliyekuwa anasifia kabla ya maboresho..!!

CC FaizaFoxy, ChoiceVariable
Mie haya ya banadari yameshapoita, napiga chapuo tu, kimeeleweka.

Sasa hivi nipo huku:

Back
Top Bottom