Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
- Thread starter
-
- #41
Sio kila kitu anafanya rais. Unapoongoza watu wengi kuna mambo mengi yanaweza kufanywa na 'other actors' bila wewe kuwatuma wanafanya wao kama wa kwa sababu tofauti tofauti.Ndio maana tunasema ni muhimu kila mtu awajibike ili tufanikiwe.Bila kusahau aliyemuweka Mbowe ndani
Mkuu JokaKuu , Mama hakufukuza mtu kwa kutofautiana mitizamo. Na yeye alieleza mtizamo wake kuhusu mikopo na hayo ndio mapambano ya hoja. Aliyekuwa spika akajikuta anajichanganya na kushindwa kusimamia hoja yake. Mwisho baada ya kuyumba yumba akaona ajiuzulu. Ukisema alifukuzwa sio kweli.
Kuhusu watu kukamatwa, jamani sio kila kitendo kinachofanyika wafanyaji wanakuwa wametumwa na Rais, au Rais anakuwa anakifurahia. mambo mengine ni mitizamo, uelewa na tabia binafsi za mfanyaji. Kumlaumu rais ni kumuonea bure. Kama angeagiza au kutoka hadharani na kuunga mkono vitu vizivyo vya kawaida, hilo lingekuwa jambo jingine.
Sio kila kitu anafanya rais. Unapoongoza watu wengi kuna mambo mengi yanaweza kufanywa na 'other actors' bila wewe kuwatuma wanafanya wao kama wa kwa sababu tofauti tofauti.Ndio maana tunasema ni muhimu kila mtu awajibike ili tufanikiwe.
Mtu, kwa sasa upinzani hawana hoja yoyote ya maana zaidi ya katiba mpya ambayo iko wazi sana na tayari inafanyiwa kazi. Tunachotofautiana ni kuhusu utaratibu tu.
Kuhusu kwamba ni mstaarabu kwa sababu hajakabiliana na uchaguzi, hili au kweli. Ustaarabu ni tabia ya mtu. Vinginevyo kwa kupata madaraka tu, ingetosha kubadilika na kufanya vitu vya ajabu lakini uungwana au uhuni ni tabia ya mtu tu.
Kuhusu siasa za upinzani, unatakiwa ujue kuwa huko nako kuna wahuni wakutosha tu, kwa hiyo bila kuweka utaratibu mzuri ni tatizo lingine tena.
Njaa ipi Mzee? Unalala na njaa? 👇Siasa safi ni kuwafanya wananchi wapate mkate wao na maisha yanayotabirika
Siasa ya kuwafanya wananchi wawe na njaa, haijawahi kupendwa na mtu hata mmoja
Labda huko juu keki inakoanzia!
Mtu JokaKuu wakati fulani kiongozi huweza kujikuta kwenye dilemma of undesirable ends kwa sababu fulani fulani. Moja ya sababu yaweza kuwa kupewa taarifa zisizo sahihi, au makosa ambayo yalishafanyika awali.
Kwa hiyo makosa yanaweza kuwepo hapa na pale. Hatutakiwi ku concetrate kwenye makosa ambayo amma yalirekebishwa au tunaona jitihada za wazi za kuyarekebisha.
MkuuTindo huwa tunapima uzuri au ubaya wa mtu/kitu kwa kufanya mlinganisho, hakuna kitu ambacho ni absolute kizuri au kibaya bali ni 'relatively'.
Extreme good ni malaika, extreme bad ni shetani katikati ni mtu.
Halafu sijui kwa nini utatumia vyama vya upinzani kama standard pekee kupima uzuri na ubaya wa rais huku ukijua kuwa hao wapinzani wenyewe ni chenga kichizi.
Mkuu, kumbuka wabongo tunajijua tulivyo, so tunaangalia the best miongoni mwetu maana sample zetu ndio hizi hizi.Azizi bana unachekesha kweli, ubora una viwango/vigezo vyake bila kujali kuwa kuna ulinganifu. Mfano mrahisi mwanafunzi aliyefaulu vizuri atakuwa na marks kuanzia 80-100 bila kujali matokeo ya wengine. Ila wewe unataka kusema mwanafunzi atakuwa ana akili kwa sababu yuko juu ya wenzake, bila kujali ana marks kiasi gani. Yaani mwanafunzi akiwa juu ya wenzake hata kama ana Marks chini ya 20, wewe unasema ana akili simply kwakuwa yuko juu ya hao wengine! Unachokisema hapa ni kama iwapo kitu kitakosa ulinganifu, basi huwezi kupima ubora wake!
Ingia king'amuzi cha Azam kisha fungua chaneli za Malawi ziko saba, kwenye taarifa zao za habari kwa kiingereza(huenda kikawa kikwazo) utajionea ambavyo watu na vyama vyote vinauhuru wa kujieleza bila kuzuiwa na polisi na mahakama, wako huru kumsema rais au IGP kama amekosea.Kuna nini huko mkuu? ungetupa hint halafu utupe connection na mada.
Chawa kaziniiiiRais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’.
Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya hali ya juu ili kupunguza madhara na kuongeza tija (Ikumbukwe kila kitu kina pros na cons zake, kwa hiyo kiongozi tunampima kwa kuangalia ana maximize upande upi).
Rais Uhuru Kenyetta wa Kenya amekuwa mfano bora wa siasa za namna hii kwa miaka ya hivi karibuni na kuwa role model wa EAC kama sio Afrika nzima.
Hata hivyo sasa rekodi yake inavunjwa na mama kwa kuonesha viwango vya juu sana vya siasa za kistaarabu na kisasa.
Inaendelea...
Mkuu, kumbuka wabongo tunajijua tulivyo, so tunaangalia the best miongoni mwetu maana sample zetu ndio hizi hizi.
Masudi alitegeneza gari ya umeme, tulimkubali sana kwa sababu kibongo bongo alifanya kitu kisicho cha kawaida, ila tungemlinganisha na wachina, tungemuonea bure.
Halafu pia u smart wa mtu wakati mwingine hutegemea aina ya wateja wako. Fikra mfano unahudumia watu wanaopenda umbea kuliko kula.
Ingia king'amuzi cha Azam kisha fungua chaneli za Malawi ziko saba, kwenye taarifa zao za habari kwa kiingereza(huenda kikawa kikwazo) utajionea ambavyo watu na vyama vyote vinauhuru wa kujieleza bila kuzuiwa na polisi na mahakama, wako huru kumsema rais au IGP kama amekosea.
Argue! Don't shout.Chawa kaziniiii
Mkuu, nazungunzia ubora lakini katika mazingira yetu na sample tulizo nazo.Hao sio best miongoni mwetu, mfumo wetu hautoi nafasi ya kupata watu bora, bali hupata yoyote mwenye uvumilivu na mazingira ya chuki, fitina, Majungu na ushirikina.
Ni kweli Masud tulimkubali kwa alichofanya na sio ubora wa alichofanya. Inaonyesha ww huzungumzii ubora, bali unawakilisha hisia zako tu zisizo na uhusiano na ubora.
Mkuu, nazungunzia ubora lakini katika mazingira yetu na sample tulizo nazo.
Waasiasa wa Tanzania ni lazima wawe watanzania na watanzania tunajijua. Mfano wengi wetu wana roho mbaya na za kichawi. Hivyo akitokea ambaye hana roho mbaya katika mazingira hayo tu, hilo tayari ni jambo kubwa. Lakini katika jamii ambazo hazina wachawi kwa mfano, 99℅ ya watu ni watu wa ungwana ambao hawadhulumiani wala kurudishana nyuma, hapo huwezi kuona upekee wa mtu muungwana kwa sababu ni kawaida kwenye jamii hiyo.
Aint gonna do u any good, even if i argue ur mind set is in deep waters already.Argue! Don't shout.
Hebu nitajie kiongozi mmoja ambaye ni excellent Africa halafu uniambie kwa nini ni excellent! Ok tufanye duniani, usije ukasema Afrika ninekupa wigo mdogo sana wa kuchagua!Kwa muktadha huu, hapa ni dhahiri huzungumzii ubora, bali unaoongelea uafadhali, ndio maana nikakuambia toka mwanzo kuwa Mama Samia sio kiongozi bora, bali ana afadhali kuliko Magufuli. Na hapo ni iwapo SI unit ni Magufuli. She is somehow fair only campared to Magufuli, but very far from good, very good or excellent.