Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
CCM siyo chama bora ukilinganisha na vilivyopo, bali CCM ni chama kibovu kinachoongoza wajinga wengi. Endapo CCM Kingekuwa chama bora basi kwa wingi wa rasilimali zilizopo, Tanzania ingekuwa moja ya nchi zilizoendelea sana duniani. Chama bora huzaa viongozi bora. Chama bora hakiwezi kuwa na hofu mpaka kijikite kutetea mifumo mibovu ya uchaguzi, wizi wa kura, kubatilisha matokeo kwa mtutu wa bunduki, katiba mbovu, udikteta, kupiga marufuku siasa zinazopingana na waliopo madarakani nk.Ndio maana hatusemi ccm ni chama bora tukaishia hapo, bali tunasema ccm ni chama bora ukilinganisha na vyama mbadala vilivyopo. Ila usipolingalisha hivyo, ccm nayo inakabiliwa na changamoto nyingi tu.