SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Umemaliza kila kitu
 
Umepatikana....
 
Jinga kabisa unafurahia ndugu zetu kuishi kwenye umasikini wa kutupwa huku wachache wakiiba mali za umma na kuishi maisha ya anasa sisi tushangili. Shetani usiye na mkia
Umaskini wako utaondolewa kwa juhudi za mikono yako kwa kuchapa kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma sana.na siyo kupiga umbeya wako hapa na kwenye vibaraza vya majirani.
 
Umaskini wako utaondolewa kwa juhudi za mikono yako kwa kuchapa kazi kwa bidii, juhudi,maarifa na kujituma sana.na siyo kupiga umbeya wako hapa na kwenye vibaraza vya majirani.
We ni mwendawazimu, tunalipa kodi matokeo yake zinatafunwa na wachache matumizi makubwa na ya anasa, huwezi kujadili sababu unalaana ya milele unawaza uteuzi ili uibe mali za umma upate utajiri wa haraka. Shame on you wewe shetani
 
Jinga kabisa unafurahia ndugu zetu kuishi kwenye umasikini wa kutupwa huku wachache wakiiba mali za umma na kuishi maisha ya anasa sisi tushangili. Shetani usiye na mkia
Mwambie akifika mjinia akatembelee mbweni A akitoka hapo aende BUNJU A kisha aje hapa abweke. Kama hao watu wawili wanafanana makazi yao. Na je wote wanaishi nchi moja????
 
Pale ambapo dhuluma au udhalimu unapokuwa mkubwa, haki kukosekana au uonevu unapovuka mipaka, basi wale Watu wanaodhulumiwa huwa wanajihisi kwamba hawana cha kupoteza na hatimaye huamua kujitoa mhanga ili kupinga dhuluma wanazofanyiwa. Inapofikia hatua hii, Basi hakuna tena mtu katika jamii husika ambaye yuko salama, hatari inakuwa ipo kwa Watu wote na mahali popote pale.

Njia pekee kabisa ya kuepuka hatari kama hiyo ni kutenda haki.
 
Wewe ndo udhibitiwe kwa uchawa wako mbwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…