SATIVA adhibitiwe kwa matusi ya nguoni anayotoa mitandaoni

Utukanaji wa matusi na kutoa lugha chafu zisizo kubalika katika jamii ya aina yoyote ile hapa chini ya Jua.
Mauaji na utekaji wa wakosoaji wa Samia na hii serikali ya kishetani, vinakubalika katika jamii?
 
Ni kweli sio utamaduni wetu,sijui ni wewe na nani.
Maana utamaduni wenu unajulikana mlichomfanyia kilitosha kuwatambulisha utamaduni wa KUTEKA WATU,INZI WA KIJANI WA CHOONI WALE.

Vp amekugusa na wewe kunguni mjinga.

Ole wenu Hilo genge lenu limteke Tena.

Walengwa wameufyata,wewe kama nani.

Piga kelele kifo Cha mzee Kibao mbwa Koko wewe.

Usiguse coment yangu hii,NTAKUPIDIDI SENGE WEWE.

Comment hii Ione kama nyuchi ya dada ako. Kubwa Zima ovyoo😡
Huna akili kabisa kichwani mwako
 
ID Fake?
Hiyo ID Fake unayoiona wanaijua Mpaka hao maboss zako unaojilazimishia ukaribu.

Nakuambia, usipobadilika utaendelea kuwa Liability siku zote. Hao maboss unaojikomba kwao wenyewe wanakushangaa
Huyu Lucas kujikomba kwake ni kwa sababu ya akili ndogo. Hajui kuwa panya hata ahangaike vipi kumsifia paka, mwisho wake ataishia kuliwa tu!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kinachonipa HASIRA ni kublockiwa na @tanpol

Kila siku nawatag kuwaambia alieniteka ni MAFWELE.

Na nawaambia wao pia ni wahusika wa utekaji wangu maana MAFWELE ni mtumishi wao.

Kumbe wanaona lawama zangu wanakausha.

Wakahisi nitaacha kuwatag na kudai haki zangu wanakuta naendelea kila siku.

Wakaona dawa ni KUNIPIGA TOFALI.

Hizi ni DHARAU.

Mnaacha kuhangaikia ninacholalamikia mnaniblock.

Mimi ndio nawalipa mishahara hata kama ni vimishahara vidogo kama posho za Malaya ila mimi ndio BOSS WENU.

Sasa sitakaa kimya kamwe. Kuniblock ni ishara nzuri kuwa DAWQ inafika.

Nitaendelea kutumia LUGHA NGUMU hii ndio inaleta ujumbe haraka.

Kama nilivyoita jana JESHI LENU ni la kikuma **** na IGP WAMBURA ni MSENGE.

Hizi ndio zitakuwa Lugha zangu mpaka mnielewe nataka nini.🤝

SATIVA17🫡
From Sativa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nadhani ANAWEHUKA!
 
Huyu dogo kwa sasa ni kama amewehuka. Ana andika utumbo tu.... Adhibitiwe.... Hatuwezi kuwa na taifa la vijana mabingwa wa kuandika matusi mitandaoni.
Waliowehuka ni wale walimchukua, wakampiga, wakamfanyia kila ubaya hadi kumpiga risasi, wakamtupa mbugani alive na wanyama. Hao ndio wehu, wanatakiwa kudhibitiwa. Then waje kwa huyo Sativa, yeye wala hana shida, anataka watu wa kushape saikolojia yake aondokane na trauma aliyopitia.

Sema nini, tqifa la wajinga hamuwezi elewa, mtazidi kumsema kuwa "adhibitiwe", trauma aliyopitia hamuijui.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yeye ndo anajua madhira aliyopitia baada ya kutekwa, na amemtaja mtu aliyemteka na kuhatarisha uhai wake, jeshi la polisi ilibidi litoke hadharani ama likanushe kwamba halina muajiriwa anayeitwa mafwele, au likubali kwamba ni mtu wao. Nb acha kijana ateme simu Kwa namna anayoiju yeye zikiisha atatulia tu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hoja yako ya msingi kwenye andiko lako ni ipi?
Kwa mimi ninavyofahamu ni kuwa kichwa na hitimisho ndivyo vinavyobeva uhimara na uthabiti wa andiko,,kwenye andiko lako kichwa na hitimisho havina ushirika.
 
Kaa pembeni uache wenye akili kubwa wajadili hoja
 
Sikubaliani na lugha za matusi pasipo kuangalia nani anazitoa lakini hata wewe kuna watu wengi hawakubaliani na unachokifanya. Kiufupi maxcence akisema watu wakupigie kura za kukupa ban, hutochukua lisaa utapewa life time ban kwa hiyo tumia nguvu na akili hiyo hiyo kujisahihisha
Upo sahihi sana. Sidhani kama watu wanaoamini kuwa huyu Lucas ana akili timamu, idadi yao inaweza kufika hata 10. Hata wanaCCM wenye akili timamu, wanajua kuwa huyu bwana kichwani na moyoni kumeyumba kabisa. Maana hakuna mwenye akili timamu ambaye ataona kuuawa na kutekwa kwa watu ni sawa alimradi kufanywe na CCM na agents wao ila hata kukemea tu juu ya matendo hayo machafu kukifanywa na wanaosadikika ni wa mlengo wa upinzani ni sawa.

Juzi nilikuwa safarini kuelekea Nyanda za juu, njiani, nikakutana na wakili wa mashtaka wa Serikali, katika kuongea, akasema, "huyu mama, hapana, anakoipeleka nchi siyo kwenyewe kabisa. Kitendo chake cha kuwakumbatia watekaji na wauaji mradi tu watu hao wanamkosoa yeye au serikali yake, ni maangamizi kwa nchi. Kama watu wangekuwa wanajitambua, ilitakiwa kumwondoa mara moja"

Tena jana nikakutana na mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM, wengine aliokuwa nao japo sikujua nafasi zao, lakini wote wanaCCM, yule mjumbe wa mkutano mkuu ni kama alikuwa anarefer mkutano walioufanya, akawa anawaambia wenzake, "watu huku CCM bado wanaipenda, tatizo ni huyu mama. Tena napenda ingekuwa inawezekana wapinzani wangechukua vijiji vingi ili wajye kuwa huyu atatupatia wakati mgumu mwakani. Sasa jana wamemkamata Mbowe na watu wengi wa upinzani, unafikiri pale tena CCM irapendwa!!".
 
Muongo mkubwa wewe usiye na haya wala aibu ya kutunga uongo ,uzushi na umbeya kama ilivyo kawaida yako.kunakotomana na kushindwa kushughulisha akili yako.hovyo kabisa wewe.huo ujinga peleka huko kwa wajinga wenzako na wenye akili ndogo kama yako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na fedheha kubwa.Ni matusi na lugha ambazo yeyote mwenye akili Timamu,mwenye hofu ya Mungu na mcha Mungu na aliyepata malezi mazuri ya wazazi wake hawezi kutukana wala kutoa iwe hadharani au mafichoni.

Sielewi huyu kijana kama wazazi wake wapo hai au walishatangulia mbele za haki.sielewi ikiwa huyu kijana ana ndugu wa karibu au viongozi wa Dini . sielewi huyu kijana kama amewahi hata kujua kama Mungu yupo na kwamba kuna siku sisi wanadamu tutakufa na kwenda kutoa hesabu mbele za Mwenyezi Mungu.sielewi kama huyu Kijana amewahi kuishi na wazazi wake na kulelewa katika ukuaji wake.

Anatoa lugha na matusi makubwa na yenye kuibua hasira,chuki na ghadhabu kubwa sana . Ni matusi na lugha ambazo hazikubaliki mbele ya jamii iliyostaarabika. Ni matusi na lugha ambazo haziwezi na hazipaswi kufumbiwa macho na kuachwa zipite hivihivi.

Huyu kijana anapaswa kudhibitiwa haraka sana.hawezi kuachwa aendelee kutukana matusi ya Nguoni.ni lazima akamatwe na kuwajibishwa kisheria.ni lazima afundishwe adabu ,ni lazima aambiwe huo siyo utamaduni wetu na siyo maadili yetu ya kitanzania. Ni lazima aambiwe wazi kwa vitendo kuwa popote pale Duniani hakuna uhuru wa kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu mbele ya watu waliostaarabika na ukaachwa hivi hivi.

Kama kuna mtu anaweza kuunga mkono matusi ya huyu kijana basi atakuwa ni mtu wa ajabu sana,mwenye matatizo ya akili,mwenye kukosa hofu ya Mungu na aliyekosa malezi ya wazazi wake na mwenye matatizo kichwani na asiyejitambua.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe uliunga mkono aliyotendewa ila huungi mkono malalamiko yake unayoyaita Matusi. Toa neno moja ambalo ametukana nami nikuunge mkono. Natamani uvunjwe hata ukucha tu uone maumivu yake. Wakati yeye kavunjwa taya la kichwa kwa risasi. Ninakuona wewe ni mnyama muovu hata kuliko waliotumwa kumuua akapona kwa kudra za MUNGU.
 
Huyu Lucas kujikomba kwake ni kwa sababu ya akili ndogo. Hajui kuwa panya hata ahangaike vipi kumsifia paka, mwisho wake ataishia kuliwa tu!!

Alafu wenzake wanaojikomba ni nadra kuwasikia wakiingilia kesi wanazojua uonevu au dhulma ilifanyika.

Hata hao waliomteka Sativa wenyewe sio kwamba wanapenda kufanya hivyo ila tatizo ni moja ya majukumu yao, wakipewa oda Kazi yao ni kufuata.

Ni kama waliomsulubisha Yesu.
 
Kusifu kukizidi sana, hugeuka ukichaa na wehu. Maana haoni, hawazi, hahoji, hafikiri Hana hisia.
 
Back
Top Bottom