Masharti ya BRICS ambayo US atatakiwa kufuata ni yapi ??Baada ya kumiliki Nishati ya mafuta duniani, BRICS wanalenga kumiliki Dhahabu na Uranium hasa toka nchi za Africa. Madini kama Ntantalum na Cobalt nayo yanatafutwa kuingizwa katika BRICS. Hii inamaana kwamba hata US akitaka kuhamia kwenye Magari ya kuchaji Bado atatakiwa kufuata masharti ya BRICS
Unafikiri mfanyabiashara wa mafuta aliyekubali kulipwa kwa Rubo mwaka jana mwaka kesho atakubali kulipwa kwa Rubo tena?Kiuchumi iko hivi kadiri mataifa yanaamua kutumia sarafu zao kwenye international transactions au kuamua kutumia sarafu zingine ndivyo utegemezi wa US Dollar unapungua ndivyo na kwenye foreign reserves hupungua kwa sababu demand yake inashuka
hilo halihitaji nguvu nyingi kufikiri,hata kama ni kwa asilimia chache,lakini ni pigo kubwa kwa dollar na euro..Nilimaanisha kwenye biashara ya mafuta kama vile ambavyo sasa hivi Russia na China; Russia na India wanatumia sarafu zao
Bado China na Brazil kuna biashara wanatumia sarafu zao
Saudi Arabia, India wameanza kutumia pia sarafu zao kwenye transactions zao
Je, hauoni hapo dollar ya Marekani imepoteza ushawishi maana kabla ya hapo hayo mataifa yalikuwa yakitumia US dollar?
Unafikiri mfanyabiashara mkubwa wa dhahabu Tanzania aliyelipwa kwa Tshs mwaka jana atakuwa na hamu ya kulipwa kwa Tshs tena au dollars mwaka huu?Kiuchumi iko hivi kadiri mataifa yanapoamua kutumia sarafu zao kwenye international transactions au kuamua kutumia sarafu zingine ndivyo utegemezi wa US Dollar unapungua ndivyo na kwenye foreign reserves hupungua kwa sababu demand yake inashuka
kwa hiyo ataivunja BRICS?,na kuwalazimisha watumie dollar?iran na saudia kukaa kundi moja,ni pigo kubwa kwa usa,hata rumi iliwahi kutawala dunia..Naamini bricks hawadhani hivyo. Ila wanachama wake wakwamtogole, kwatumbo, kwampalange, kwamama kibonge ndio wanaodhani USA ametulia tu anasubiri dollar yake iporomoke
sasa kiongozi kama unadhani kujiunga ni rahisi,si kajiunge wewe..Ni lini watanzania nao wataingia BRICS au wamekaa tu kama mafisi wanasubiri mkono udondoke waokote. Nchi hii ngumu sana
01-01-2024 wanakuwa member rasmi.Wamekubaliwa tayari au bado wapo kwenye michakato ya kuelekea kukubaliwa ?
Wanategemea nini mkuu?Haya mataifa yote 6 waitagemea US kwa kila kitu uchumi wao
AnakubaliwaIkitokea US naye akaomba kujiunga inabidi naye wamkubalie
Sasa hivi wanajiita BRICS+Je jina lao litabadilika akutokana na current name kuundwa na hizo nchi 5?
Masharti yoyote watayo pendezwa ambayo naamini hauwezi kuwa favorite kwa US. Na lazima yatakua masharti ya kumuumiza USMasharti ya BRICS ambayo US atatakiwa kufuata ni yapi ??
Kuna shida kwenye taifa letu ni rahisi kujiunga BRICS+ kuliko G7 au G20 ila wengi ni kuiponda tu.Ni lini watanzania nao wataingia BRICS au wamekaa tu kama mafisi wanasubiri mkono udondoke waokote. Nchi hii ngumu sana
Hahahah na wewe utaponzwa na mfanyakazi wakoMdomo utakuponza kijana una mtusi Boss wako
Kumbuka, US siyo economic emerging country. BRICS karibu wote soko lao kubwa ni US, na partner wao mkubwa ni US.Baada ya kumiliki Nishati ya mafuta duniani, BRICS wanalenga kumiliki Dhahabu na Uranium hasa toka nchi za Africa. Madini kama Ntantalum na Cobalt nayo yanatafutwa kuingizwa katika BRICS. Hii inamaana kwamba hata US akitaka kuhamia kwenye Magari ya kuchaji Bado atatakiwa kufuata masharti ya BRICS
Ndo wanajifanya kila kitu wanacontro duniaYote hayo ni kwaajili ya kumkabili USA na washirika wake.
Kwa mfano sharti gani unadhani likiwekwa litamuumiza US?Masharti yoyote watayo pendezwa ambayo naamini hauwezi kuwa favorite kwa US. Na lazima yatakua masharti ya kumuumiza US
Sema mabeberu wanaopeleka Vita mataifa mbalimbali,kuweka vikwazo na kunyonya mataifa mengineYote hayo ni kwaajili ya kumkabili USA na washirika wake.
Ethiopia ameingia kwq vigezo gani
Uchumi mbovu
Nchi vita kila kukicha
Mchina anauza bidhaa zake China-based products. Kwa mujibu wa forecast za IMF wanasema kuwa kufikia 2040 mataifa makubwa kiuchumi yatakuwa
●China
●India
●Marekani
Sasa kati ya wewe na IMF ni nani tuchukue projections zake?
Ni lini watanzania nao wataingia BRICS au wamekaa tu kama mafisi wanasubiri mkono udondoke waokote. Nchi hii ngumu sana