Saudi Arabia, UAE, Iran, Egypt, Ethiopia na Argentina zakubaliwa kujiunga BRICS

Yani humu ndani kweli aliyesema mapenzi ni jambo au kitu fulani kunasababisha uwezo wa ubongo kupambanua mambo unapungua.
Watu wamewekewa hapo juu sifa za huo umoja na impact zake,

Wachambuzi wa kiuchumi Duniani kote hadi huko USA wenyewe wanakili kuwa umoja huo ni tishio la kiuchumi kwa western hasa kwa USA
Cha ajabu kuna wandengereko hapa Tanzania wanakuambia hakuna kitu kama hicho.

Haya tuhitimishe kwa kusema mpo sahihi kushinda wachambuzi wa Uchumi wa western-tuache muda uongee na tuwe hai.
 
Angalia mtazamo wa vijana wanaiponda BRICS kwenye huu uzi hoja zao ni za kipuuzi sana. Ndio ujue Tanzania funa safari ndefu sana.
Da aisee umeongea nilivyokua nawaza yaani Kuna mawazo ya ajabu humu ni blaaa.
Watu wanaingiza tofauti zao humu za vita vya Ukraine na Brics.
Brics iianza Mika mingi kabla ya vita vya Ukraine.
Brics ni ishirikiano wa kiuchumi zaidi wala sio wa kijeshi kama NATO.
Brics inataka kuleta usawa wa kiuchumi,kibiashara na kimaendeleo.lkoni utakuta vijana wa kitanzania wanaiponda.
Brics itakua na benki Yao kubwa mfano wa WB lkn yenye mikopo na mashart nafuu kabisa.

Inashangaza mtu anakuambia Brics haitaishinda OPEC,mara hii yote ni kwa ajili ya kuikabili Marekani,mara umoja wa masikini,mara hawataizidi west.
Ukweli ni kwamba hii miungano ipo mingi TU duniani naniko kwa malengo na mahitajio tofautitofauti mfano AGOA,South commission n.k, Shanghai cooperation,n.k
Lkn ujio wa Brics umewatisha sana west na pro wao.
Sioni kama Brics imekuja kushindana na USA bali kujikomboa kutokana na ukoloni wa mifumo ya kiuchumi ya west.
Hii ni kwaida kama vile waafrika mfano tuna baadhi ya miungano yetu yenye malengo tofauti.
Mafani EAC,saddc,ecowas,n.k
Akili za baadhi ya vijana wa kitanzania zililiwa na Hollywood movies na kudhani kwamba USA ndio mbingu na Rais wa USA ndio Mungu mwenyewe kuwa USA haiwezi kuchallenjiwa na yoyote hapa duniani.
Miaka ya nyuma hapakua na European union,wala hapakua na sarafu ya euro.
Zilipoanzishwa kwa sababu ni za west watu hawakushangaa kwa sababu ni west,Leo inakuja Brics na sarafu yake watu wanaiponda.
Lkn nakuambia huko miaka ijayo brcs itapamba moto na baadae inaweza kuja Tena aina nyingine ya ushirikiano wenye malengo tofauti na hizi zilizopo nao utavuma na kusonga mbele.
Siku zote Dunia hubadilika na kuangalia mbele.
 
BRICS haiji na sarafu yake na wala haitakuwa na sarafu yake hata kwa miaka 50 ijayo.
 

Jibu la sahihi kabisa hili.
Safi sana Mkuu.
 
Da Mkuu Vijana wa kitanzania ni janga kwa taifa.
Wametawaliwa na western propaganda na ushabiki wa west na east.wanashindwa kujua Dunia inabadilika kwa Kasi mno na inahitaji mahitaji mapya Kila siku.
Sasa hivi nchi nyingi zinztaka kujikomboa kiuchumi na kuondoka katika utegemezi wa mifumo yabkizamani ya kifedha na kiuchumi ya west wala sio chuki Bali Kila nchi inataka maendeleo yasio na mashart ya kinyonyaji.
Ndio maana nchi nyingi zinatamani kujiunga na Brics.
 
Challenge za BRICS zitakua solved at win-win situation. Sio kama Leo US anataka kuwa giant na mshindi kukandamiza wengine. US amejiweka kiranja wa Dunia na anafanya lolote kwa yeyote. Huu umoja unaleta balance katika Dunia. BRICS imechukua wazlishaji wakubwa wa mafuta na pia wanunuzi wakubwa pia kama China na Brazil. Hakuna nguvu ya vikwazo vya US tena
 
Unataka mama wa watu waanze kusema kauza nchi kwa wachina [emoji23][emoji23]
Kama yule mwingine waliyesema mwanae kakutwa na unga anatakiwa kunyongwa akajaa kwenye ungo usiku kwa usiku
 
Mbona sijaona kama wanunuzi wakubwa wa hayo mafuta wanatoka humo BRICS+?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…