Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
ccm watakuacha ulie mwisho wa siku watakupa handkerchief ujifute machozi na kamasi!Hivi hakuna sehemu tupange siku tukutane iwe ni kulia tu.....tulieeee tupoe. Yani ukifika hilo eneo ni kuanza kulia tu kwa makelele
Kwani bado hatujawapa tu. Tazama eyapoti ya Unguja, kupewa tu Waarabu imekuwa kivutio cha watalii.Waarabu ni wajomba zetu.
Muda si muda tutawapa tena uwanja wa ndege wa DSM-JNIA.
Pia tuko na mazungumzo na wajomba wetu wa Oman tuwape moja kwa moja SGR yetu... maana Kidogosana anaelekea amechemka
Lilia chooni kwako.Tutalilia tukiwa wapi huu msiba mpya?
We kibibi huko Canada nako wataanza kurudisha wazamiaji unafahamu?Utakuta Bagamoyo kuna bandari ya kimaifa imeajiri maelfu ya wanachi.
Hatari lakini salama.Duh aiseee hatari sana
We kibibi huko Canada nako wataanza kurudisha wazamiaji unafahamu?
Wewe ushapewa Mwarabu?Huyu Mama ni hatari sana. Waarabu wanapewa kila kitu.
Kenya yatarahisisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.
Basi kwisha habari yako uanze mapemaaa kuongea na kaka yako mzee Said akupe hata kibarua kwenye mgahawa wake kariakoo uje uimbe vizuri mapambio na kina Lucas MwamshambaCanada hawajaanza leo wala jana. Trump kaiga sera.
Acha wachukue tu maana hamna namna sasaHuyu Mama ni hatari sana. Waarabu wanapewa kila kitu.
... jambia na AK47 kwenye bendera ya Msumbiji, kipi kinatisha zaidi?Halafu kwenye bendera yao pale kuna picha ya jambia lazima tuogope!