Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

Hivi hakuna sehemu tupange siku tukutane iwe ni kulia tu.....tulieeee tupoe. Yani ukifika hilo eneo ni kuanza kulia tu kwa makelele
ccm watakuacha ulie mwisho wa siku watakupa handkerchief ujifute machozi na kamasi!
Hawana hofu tena!
 
Kmnyoko watanzania. Kitu kikabaki kwa serikali mnasema serikali inaferi apewe mtu apige kazi, akioewa mtu mnalalamika mnataka nini sasa. Acheni wivu.
Mwendokasi kila siku mnalalamika. Pantoni mnalalamika. Mnataka nn nyie
 
13 February 2025
Kigali, Rwanda


Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudia Hassan Alhwaizy na ujumbe watua nchini Rwanda,
Ujumbe kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyabiashara wa Saudia, wakiongozwa na Hassan Alhwaizy, wanatembelea #Rwanda kuchunguza fursa za biashara na uwekezaji kati ya Rwanda na #Saudi Arabia.

View: https://m.youtube.com/watch?v=zbpC3ylOcNk

13 Feb2025
A delegation from the Federation of Saudi Chambers of Commerce, led by Hassan Alhwaizy, visits #Rwanda to explore business and investment opportunities between Rwanda and #Saudi Arabia.
 
Kenya yatarahisisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili.

12 February 2025
Nairobi, Kenya

Tuna nafasi 50,000 za kazi za uuguzi (Nurses), Shirikisho la SG la Saudi Chambers of Commerce sheikh Waleed awaambia waKenya​


View: https://m.youtube.com/watch?v=ZYPW-emR0Jk

Tuna uzoefu mzuri sana wa kufanya kazi na wauguzi kutoka Kenya, tuna mahitaji makubwa ya kazi zipatazo 50000 za kujazwa - shirikisho la SG la Saudia lasema...kupitia sheikh Waleed Alorainan..
 
👆 Sisi kazi ni kuuza mapande makubwa ya nchi ya Tanganyika

Sheikh Waleed Alorainan Huko Kenya wanatafuta fursa kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu, vyuo vya ufundi, vyuo vya hoteli management wapate kazi nchi za Saudia na Ghuba ambapo wakenya wamejaa kama cabin crew katika mashirika ya ndege na airport, mahotelini n.k za Qatar, Saudia n.k
 
Sasa hivi waarabu ndio wanafanya Royal Tour nchini kwetu. Ni vile tu hatukuelewa jina la filamu
 
... nyakati tulizonazo, baada ya wazungu kutia 'moto mchibuyu', inabidi waafrica tuwe sharp sana! ... TUSIACHE FURSA YEYOTE, ISIYO NA MADHARA TISHIO, ITAKAYOTOA AJIRA KWA RAIA NA KUTUINGIZIA MAPATO JAPO KIDUCHU!
 
  • Thanks
Reactions: gzi
Back
Top Bottom