Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy




Sio kweli kwenye kitabu chake kasema walikuwa wanalipiza kisasi baada ya wenyewe kupigwa casino wakati wa pambano la Tyson. Sasa sijui uzushi huu nani atauamini!!!! si kweli
 
Duh!....
 
Hiyo ni trend inayotengenezwa kwa watu ambao ni icon waliokuwa na ushawishi ili kutuliza pressure kwa die hard fans wawe na hope.

Hata Juice Wrld alivyokufa naye walisema hivyo hivyo kuwa ame fake.

Japo kipindi yupo hai aliwahi ku tweet kuwa mpango wake ni kuja kuwa maarufu kisha a fake kufa.
 
Wale vijana wa OutLaws walio baki hai ni Napoleon wake wakina Kadafi,Kastro, Saddam Hussein, E.D.I.Mean na wengine walio nje ya hiyo Mobb waliuawa tena wengine waliuawa mwaka huo huo aliokufa Pac ndio maana ushahidi wa kweli umechelewa huyu jamaa alikua anaweweseka mwenyewe kila akiongea kwenye media kuhusu hayo mauaji ndio maana ikawa rahisi kupata ukweli...50 Cent aliwahi mwambia Diddy yafuta Lawyer kwenye Murder Case ya Pac kitambo kidogo na Eminen ashawahi kuimba kipande akizungumzia Diddy kuhusika na hayo mauaji enzi hizo Sugar Night ndio anasumbuliwa na Uchunguzi ikabidi awekwe kiporo ili wafanye uchunguzi zaidi na kila wakiangalia video za barabarani hawaoni picha ya aliepiga risasi kumuua Pac ngoja tuendelee kusubiri Diddy ataeleza yote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…