Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Ndio maana wajuba wanacheka pale wakijua kabisa ni mambo mambo katika harakati za kutaka kuwapiga watu na kitu kizito sana😂😂😂😂
Jamaa anataka watu waingize pesa kwenye huo mchongo wake 😄 mambo sio rahisi kihivyo aisee
Karne hii kweli unakuja na kitu kimeshindwa kufikia hata kiwango cha gari iliyotengenezwa 1887
 
Kama ile ya UDSM FOE.
 
Jamaa anataka watu waingize pesa kwenye huo mchongo wake [emoji1] mambo sio rahisi kihivyo aisee
Karne hii kweli unakuja na kitu kimeshindwa kufikia hata kiwango cha gari iliyotengenezwa 1887
Kwanza siku hizi gari hazitumii machuma, sana sana hizo za umeme hutumia carbon fiber ili kupunguza uzito wa gari.

Angalia magurudumu yalipokaa kama bajaj

Engine hajafanya kitu zaidi ya kununua na kuweka
 
Kama amebuni mbona anatembelewa ya Wazungu?

Hata udsm walikuja na upuuzi kama huo.
 
Ukimuuliza hata mchoro wa hio gari utakuta hana
Maana gari lazima ipitie stage nyingi kabla haijaanza uzwa.

Kigezo cha mtu kununua gari ya umeme ni designe bora, utumiaji nishati bora, huwezi nunua gari ambayo kimuonekano ni mbaaaaya.

Gari inatembea km 60 tu, tena imewekewa battery kubwa sana, wakati kuna pikipiki zinatembea hadi km 120 zinauzwa 1mil KKOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…