Sauti ya Kiongozi kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara akiponda ubunifu wa Gari ya Masoud Kipanya yavuja

Nakwambia hivii
Huu muundo wa gari yake haufikii hata ile ford ya 1880s
 
Hilo gari anatakiwa alipitishe kwenye madimbwi muda huu wa mvua ili kuona je halitapiga shot

Anatakiwa aliendeshe angalau hadi Mwanza au Kigoma akiwa na watafiti ili wagundue shida ikoje.

Tesla imepitia stages nyingi na kila siku wanafanya updates
Weee hatadhubutu πŸ˜† si umeona kwenye hio clip anaendesha tena akiwa ndani ya jengo
 
Mambo mengine inabidi ucheke mkuu hakuna namna ujanja ujanja mwingi alafu mambo yasio na muendelezo. Sawa kaunga gari basi kuwe na tija kwemye hilo jambo unakuta mtu anavimba tu kaunda gari ila hakuna faida yoyote anayoileta kwa nchi
Nyie woote ni kama huyo afisa aliyekuwa anamponda Kipanya Yaani inasikitisha watanzania tumejaa fikra za kurudishana nyuma.Badala ya kumbeza toa maoni ya ku improve zaidi. Eti ile ndege ya yule mvumbuzi wa Mbeya ni ya kukaa walevi wakiwa wanakunywa!! Mmejaa kejeli badala ya ku appreciate uvumbuzi na kuja na hoja za improvement. Kweli inauma saanaa.Watz acheni roho mbaya
 
Jamaa ni mbunifu ila maswala ya magari aachie wengine bora angekuwa na design nzuri kimuonekano
Yap hili ni wazo zuri
Yeye kama mchoraji angejikita huko napo sio rahisi kihivyo
 
Ikiuma chomoa. Maskini mnapenda kudanganywa danganywa tu
 
Mwambie amchore huyo kiongozi katuniz
 
Body marcopolo Brszil

Engine Cummins Marekani
Gear box Sweeden
Diff Japana

Gari limetengenezwa kwenye assembling plant ya China model ya Yutong mpo hapo?
 
Ukiona ndugu yako anaunganisha unganisha madude na kusema kagundua yafuatayo.

βœ… Katapila.

βœ… Helicopter.

βœ… Kituo Cha kurushwa matangazo ya redio.

βœ… Gari.

Kaa naye mbali zimeshalipuka tayari.
wanashindwa kuziita tu locally ungainly ungainly assembling items Magari na hizo wanang'ang'ania kuwa wavumbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…