Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Hata kama unaunganisha lile sio gari, halifai kuitwa gari.Kavumbua gari ya umeme na karakana ipo bagamoyo, jamaa pale alitupanga sana hakuna lolote
Wewe naye ni mpumbavu,sasa pale unaona kuna ubunifu gani?Huyo jamaa anarobgea utumbo ni bogus ws hsli ya juu, hakuna gari duniani inayoundwa kila kitu na jampuni moja. Vitu vinaundwa sehemu tofauti tofauti na vinakusanywa sehemu moja na kuunda kitu kimoja. Ndicho alichokifanya Masoud.
Yeye atuoneshe gari moja duniani ambayo components zote zimeundwa na kampuni moja au sehemu moja.
We bibi mpumbavu unaendekeza udini, fala sanaUtakuta kachukia jina Masoud tu, ingekuwa ni Samweli angesifia.
Tatizo Masudi anataka aonekane yeye.Kipanya kafanya jambo kubwa ila kisanii , uzuri wa JF haina kubembeleza unachanwa ukweli na ukweli unakuweka huru , no kusifia sifia ujinga, alipozindua gar wadau wengi walijitokeza, lakni gari ikaonekana ni powerless , poor design na almost imeunganishwa unganishwa tuu vtu, sana sana alichofanya ni kuchora mchoro ambao nao alifeli tu ( aliuchora kikatuni katuni)
watu walimsifia na wakampa ushauri ,wahisani wakajitoa na akatengeneza pesa mingi tuu, wote haya tunayajua, jamaa akapotea kwenye karakana yake , no progress yyte ya maana , perhaps anataka aombe mpunga wa ruzuku serikalini kama mtanzania mwenye kiwanda cha kutengeneza magari , achukue mpunga alaf apite hv , wahuni wenzake wamemsanukia
Masudi yeye kayachukua na kuyaweka background ya movie yakeKiuhalisia hayo mazungumzo hayana kasoro yoyote na huo ni ukweli halisi. Kwanini?
1. Kipanya alisema amevumbua gari lake. Kitu ambacho hakikuwa ukweli. Kipanya alifanya vehicle body design kwa kuboresha muonekano wa muundo wa magari ambayo yapo tayari duniani. Hakuna uvumbuzi wowote pale.
2. Hiyo clip ni mazungumzo ya ndani, binafsi au siri baina ya maafisa wa wizara, hivyo wahusika walikuwa huru kuzungumza ukweli bila chenga baina yao. Hiyo sio chuki wala kitu kibaya. Ni mambo binadamu huwa tunafanya kila siku kwenye maisha yetu ya kawaida.
Kuunda gari hakuhitaji mitambo ni just only, grenda, welding machine, nyundo, na msasa tu unaundaHiyo karakana yake ya kutengenezea gari umeiona lakn bruh 😆 haina hata mtambo mmoja mafundi wana spana tu
Hii ndiyo hoja ya msingi, yaani wewe unajimwambafai kwamba ni engineer lakini hujaweza kubuni hata maksai ya kisasa ya kuvutwa na ng'ombe. Huwezi kubuni hata baiskeli ya umeme kweli?? Hata hapo Wizarani pamoja na u engineer wako umeshindwa kufufua magari mabovu hapo karakana ya Wizara/idara. Na unaweza kukuta hao ndiyo wale mabingwa wa kufoji invoice za manunuzi ya ndege kutoka dola 36 milioni to 87 milioni. Yaani ni mabingwa wa kuiba na kuitia hasara serikali, sasa wanatoa wapi huo ujasiri wa kuwadharau watanzania wa kawaida kabisa lakini wenye uthubutu??yeye masudi kajiajiri huyo kiongozi si kaajiriwa?
aje aache kuajiriwa aone ugumu wa mtaa
Na hii ni kwa sababu they don't have that brain [emoji3447]... Wao waambie kubeti, mpira, bia tamu na utelezi [emoji23] [emoji23] wakipata nafasi serikalini basi jua kifuatacho ni ufisadi na upigaji...Nyie woote ni kama huyo afisa aliyekuwa anamponda Kipanya Yaani inasikitisha watanzania tumejaa fikra za kurudishana nyuma.Badala ya kumbeza toa maoni ya ku improve zaidi. Eti ile ndege ya yule mvumbuzi wa Mbeya ni ya kukaa walevi wakiwa wanakunywa!! Mmejaa kejeli badala ya ku appreciate uvumbuzi na kuja na hoja za improvement. Kweli inauma saanaa.Watz acheni roho mbaya
Huo ndiyo ukweli mtupu...Tanzania hii kuna watu wana wivu na roho mbaya sana yaani kuanzia kwa viongozi wenye dhamana mpaka raia wao