Sauti yako ina kutafsiri kama mtu wa namna gani?

Mimi kwa sauti siwezi ileta humu....nitakamatika kirahisi sanΓ a
Yani ukute mr ana akaunti humu si aibu....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
πŸ˜†πŸ˜† pingu za maisha noma sana
 
hamadii mara Mr ni mzabazab🀣🀣
Weee mbona nyumbani hapatakalika...kila mtu amwambie mwenzie kwanini ana behave namna hii jukwaanii
Mimi mipira kubishana kila siku mpaka kutukanana..
Na yeye 24 hrs anaongelea vipochi manyoya...πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…