DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Hutaki kusikia sauti yangu!
Kabisaaa!!Naungana mkono hoja, tunahitaji sehemu yetu ya kujiachia inakua privacy
. Mdogo wangu unaagiza tu muwekee vikorombwezo wakati mnawapa tabu Mods na threads za kiwaki na replies zenye kuharibu.Weka bhana nataka nisikie sauti nyororo ya kumfanya nyoka atoke pangoni..!! πΉπΉπΉ
Tena Max atuwekee space tuwe tunajimwaga humu, kuna muda kuna watu wanatakiwa kujibiwa live..!! π€£
Natuma braza natuma namalizia kuchana nywele hapa.....πΉπΉπΉ bro fanya mafekeche chap bhasi..!!
Dokta natamani nisikie sauti yako na ya BICHWA KOMWE.Nyie watu mtanivunja mbavu π€£π€£π€£ππ»
Kwahiyo wamekutuma, wewe ndo semaji lao? πΉπΉ. Mdogo wangu unaagiza tu muwekee vikorombwezo wakati mnawapa tabu Mods na threads za kiwaki na replies zenye kuharibu.
Bro unazingua πΉπΉNatuma braza natuma namalizia kuchana nywele hapa.....
Bro kitufe cha audio nakipata wapi πBro unazingua πΉπΉ
Nimetuma tena mbili huko juu,Dokta natamani nisikie sauti yako na ya BICHWA KOMWE.
Bro unazingua πΉπΉNatuma braza natuma namalizia kuchana nywele hapa.....
πΉπΉπΉ unazingua ujue bro..!!Bro kitufe cha audio nakipata wapi π
Kweli ndugu yangu Dr. Mariposa ana sauti nzuri, Kijana Masikini anatubania kupata sauti ya marry D kampiga biti asitume sauti yake ππNaomba sauti yako nimtumie ex wangu ili aumie plz π
dosho12
Hivi mnatumaje nitumeNimetuma tena mbili huko juu,
Nasubiri yako piaπ
Hahaha sawa madam, kumbe upo Kigamboni yetu hii hii πAchana nae atatuharibia uzi
Nilisahau mkatumeni komwe em tuma sauti zaidi ukiimba kwaya ndo itanoga,Hivi mnatumaje nitume
Tuma sauti yako tuwakomeshe mashangazi ya JF.Hahaha sawa madam, kumbe upo Kigamboni yetu hii hii π