Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Sina sauti, nikiongea dakika 1 nishachokaMhmm ya kizaramo maneno mingiπ π π
Dada mwingine huyu hapa ameongezeka mabroh wanapungua sasa
Ya kizaramo nahisiπSina sauti, nikiongea dakika 1 nishachoka
Usiombe nikusimulie kitu lazima uwe bored.
Sio yakina mashirimaπSauti yangu ya pili nayo inafaa?
Ndio hvo vindevu huwa havizidi vitatuπNilitaka niseme kama wewe na lazima awe na vindevu kidogo vya pesaπ
Kwenye tags ntakua nam mention.Huyu ni ndugu yetu kabisa bwashee , awepo kwenye lile chama letu kabla ya kuchagua viongozi .
TuaminisheSauti yangu ni ya upole kama mtu dhaifu unayeweza mfanyq chochote,sasa jichanganye utaona kama kuzaliwa ni laana π π π π
Unapendwa mzee π πJimbo lipo occupied tulioga mapema Sana Sanaa. Labda uwe second one ππ
Binafsi hatuchepukiii Ila Kuna ndugu zangu Hawa ma maana kabisa wenzangu wanafaa Sanaa Sanaa.
Chagua hapo chinii..
min -me
Monetary doctor
secretarybird
HahahhahaUnapendwa mzee π π
Yenyewe nimeshangaa ujue πSauti nzuri ila unarusha ngumi kama mike tyson π
Sauti ya mrembo hii...