Sauti yenye mamlaka walifikiri nchi haina kiongozi!

Nchi ina punguani wengi sana. Huwezi kukosa nafasi ya juu, kukiwa na mashindano ya mapunguani. Hata wakikupa nafasi ya 3, lalamika kuwa umeonewa.
 
Kwani hao wanasiasa hawana private life kama watu wengine!?
 
Tukutane tarehe 23
 
Nchi ina punguani wengi sana. Huwezi kukosa nafasi ya juu, kukiwa na mashindano ya mapunguani. Hata wakikupa nafasi ya 3, lalamika kuwa umeonewa.
Mimi nikipata ya tatu nitafurahi maana ya kwanza utakuwa wewe!
 
Wwe usiangalie mipasho,angalia katiba ya Tanzania inasemaje! Jiuulize katiba ya Tanzania imempa Rais mamlaka makubwa sana,na ndiyo maana ana weza hata kuzi challenge balozi mbali mbali hapa Nchini!!
 
Jitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
 
Jitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
Wengi humu ni ma keyboard warriors,,,,au wanapata ujasiri wa kuandika hizi pumba zao wakijua hawapo bongo wapo kwenye nchi za mabeberu huko,,,,ila kujitokeza live hawana ubavu huo,,,,wataimba taarabu zao huku wamejificha kwenye keyboard zao huko canada
 
Hatari sana wanajaza watu upepo!
 
Jitokeze useme hadharani haya uliyo andika!
Kwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenji
 
Kwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenji
Dua la kuku!
 
Unadhan wengne hawana majeshi bt raia walipoamua walisanda so ni swala la muda tu hakuna jeshi la kuwazma raia wakiliamsha hata wengne nao walikuwa na vitisho kuliko hvyo ila walisanda
Unazungumzia wa nchi gani? kama ni hawa wa hapa tanzania kila mmoja anajenga bangaluu lake aishi na familia yake kwa amani hakuna wa kwenda kusumbuliwa na upuuzi!
 
Hapo ni pumba tu
 
Kwan hapa nimejfcha mbona ww umeona atasanda tu ccm ipo ukingoni kbs haina maisha marefu kampeni za 2020 ndzo pia zlimmaliza jiwe maana alichokutana nacho hakutegemea sembuse huyu mzenji
CCM ipo na itaendelea kuwepo kama mlivyoikuta mtaondoka na mtaiacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…