Sauti yenye mamlaka walifikiri nchi haina kiongozi!

kumbe watu wanapangiwa hadi muda wa kuitisha press?nilijua ni nchi huru hii ambayo press naitisha muda wowote!sasa kumbe we jamaa unataka kuingilia hadi press za watu!doh!kazi kweli kweli!!
 
Wwe usiangalie mipasho,angalia katiba ya Tanzania inasemaje! Jiuulize katiba ya Tanzania imempa Rais mamlaka makubwa sana,na ndiyo maana ana weza hata kuzi challenge balozi mbali mbali hapa Nchini!!
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
Rais bora kuwahi kutokea Tanzania
S

AFI SANA HOTUBA BORA ZAIDI KWA RAIS BORA ZAIDI KEBEHI ZILIZIDI SASA NGOJA WANYOROSHWE WAJUE KUNA RAIS HII NCHI SIYO YA SAMAKI ALAAAAA
Nafikiri Rais awe mwangalifu sana katika kuchagua maneno au lugha ya kuongea mbele za hadhara za Watu, asiwe anaamini kila kitu anachoambiwa na wale Watu wanaomzunguka. Sometimes anadanganywa au amekuwa akiambiwa Habari ambazo zimetiwa chumvi Sana. Awe anachuja maneno ya kuongea hadharani.
 
kumbe watu wanapangiwa hadi muda wa kuitisha press?nilijua ni nchi huru hii ambayo press naitisha muda wowote!sasa kumbe we jamaa unataka kuingilia hadi press za watu!doh!kazi kweli kweli!!
Wewe nchi yako hii!
 
Uwoga upi huo,,,nyie si mnajifanya vidume na mmevurugwa mje mpambane na wenzenu waliovurugwa zaidi yenu,,,,,nani aliewadanganya kwamba utawala mtu anapewa kwa kipande cha karatasi tu,,,kama mnajiamini ingieni kwenye uwanja wa mapambano acheni taarabu zenu za ukeyboard warrior
 
Sijaelewa swali lako linahusiana vipi na nilichondika.

Wanasiasa wanatekwa, kuteswa na kuuwawa kwasababu ya private life yao?
Watu wanajiteka kwa maslahi yao nyuma ya pazia!
 
Sijaelewa swali lako linahusiana vipi na nilichondika.

Wanasiasa wanatekwa, kuteswa na kuuwawa kwasababu ya private life yao?
Kwasababu ni wahaini......hio Samia must go ni uhaini tosha dhidi ya rais
 
Sauti yenye mamlaka bila busara ni sawa na kuhalalisha uovu!
Na uovu hauna mipaka wala macho!
 
Wapuuzi sana, wame-mbeep SSH kawapigia sasa kupokea simu ndio tatizo kwao.

Aliwalegezea kwa muda mrefu sana jana kawakazia, wanakuja humu kulialia na kulalamika.
 
Hiyo hotuba ni ya mtu aliyevimbiwa madaraka.lakini ajue kuwa hata kabla ya mapinduzi kule misiri,Tunisia,Niger na Algeria viongozi walikuwa wanatoa hotuba za vitisha lakini wananchi walipoamua kuwaita adabu walikipata Cha moto.
Haya maneno yameandikwa humu tangu miaka ile ya urais wa Kikwete mpaka leo hii hajaonekana huyo mwenye huo ujasiri wa kuingia barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…