Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ametuambia katika neno lake kwamba yeye ndio chanzo cha uhai. Pia amesema alimpa mwanadamu pumzi ya uhai hivyo hewa ni yakwake.Kusema tu hewa ninayo vuta ni ya Mungu bila uthibitisho, Hata mimi naweza kusema hewa unayo vuta ni ya Aliens 👽 bila uthibitisho.
Nenda hapo nje uangalie kuku, mbuzi, ndege, wadudu, mimea nk utauona ulandano katika uumbaji. Halafu inua macho usiku utazame angani na mchana ukaiangalie milima na mabonde.Unaposema angalia uumbaji, niangalie wapi?
Labda huko kwako ulipo ndio huo uumbaji unaonekana
Huko nilipo mimi siuoni labda unipe maana ya uumbaji ni nini
Kuku kila siku nawaona ila huo uumbaji ndio sijawahi kuuona.Nenda hapo nje uangalie kuku, mbuzi, ndege, wadudu, mimea nk utauona ulandano katika uumbaji. Halafu inua macho usiku utazame angani na mchana ukaiangalie milima na mabonde.
Dua si lazima iombwe kwa Mungu. Kuna Polytheistic religions ambapo ndani yake kuna Mystical traditions, Kuna na non-religious perspective kama vile Psychotherapeutic view, Secular humanist view n.k hao wote haya makundi yote yana dua zao lakini hayazielekezi kwa Mungu.Huyu jamaa ni mtu wa dua na maombi lakini anasema hakuna Mungu. Ninaamini alipitia changamoto za kimaisha hadi akamchukia Mungu lakini deep down anafahamu uwepo wake.
Scars
Neno lake lipi?Mungu ametuambia katika neno lake kwamba yeye ndio chanzo cha uhai.
Haiwezekani Mungu huyo awe na maandiko mengi mengi yanayo daiwa ni maneno yake.Pia amesema alimpa mwanadamu pumzi ya uhai hivyo hewa ni yakwake.
Na sio neno dua tuDua si lazima iombwe kwa Mungu. Kuna Polytheistic religions ambapo ndani yake kuna Mystical traditions, Kuna na non-religious perspective kama vile Psychotherapeutic view, Secular humanist view n.k hao wote haya makundi yote yana dua zao lakini hayazielekezi kwa Mungu.
So Scars yupo sawa kuomba Dua bila kumuelekea Mungu.
Penye uhakika matokeo hayawezi kubadilika? Kwamba ukiwa na uhakika kwenye jambo ni kwamba lazima iwe hivyo hivyo?Penye uhakika, hakuna imani
Penye imani, hakuna uhakika
Matokeo ya mwisho ambayo yanabadilika ndio uhakika wenyewe. Kabla ya hapo ulikuwa na mtazamo haukuwa na uhakika.Penye uhakika matokeo hayawezi kubadilika? Kwamba ukiwa na uhakika kwenye jambo ni kwamba lazima iwe hivyo hivyo?
Kama roho haionekani, Wewe uli iona wapi ukajua ipo?Moyo unadunda kwa nguvu ya roho ambayo ndio chanzo cha uhai wa mtu. Roho haionekani ndio maana mpaka sasa wanasayansi hawajaweza kufahamu chanzo.
Nilikusudia kumjibu jamaa anayesema kwamba kisichokuwepo hakihitaji uthibitisho.Dhana ya uwepo wa Mungu mwema, mkamilifu, mwenye huruma na upendo kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, uasi na mabaya ya kila aina ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo anaye daiwa kwamba ni mwema, mwenye upendo na huruma Hayupo.
Kama Mungu huyo yupo Basi ni mkatili na Muovu sana.
Bado haujajibu nilichouliza.Imani nyingi na dini nyingi humtafsiri na ku uelezea uwepo wa Mungu huyo kama mwema na mwenye Upendo.
Sasa kwenye dunia iliyo jaa uovu, ukatili, uasi na mabaya automatically Mungu huyo mwema na mwenye Upendo kwa mujibu imani hizi na dini hizi hayupo.
Otherwise Mungu huyo ni mkatili na muovu sana.
Hakuna ulazima wa Mungu kuwepo.
Mungu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Kwahiyo kitu kikipitia misingi ya uthibitisho na kikawa verified ndipo ukasema una uhakika je hicho kitu hakiwezi kubadilika?Matokeo ya mwisho ambayo yanabadilika ndio uhakika wenyewe. Kabla ya hapo ulikuwa na mtazamo haukuwa na uhakika.
Kuwa na uhakika na jambo sio uhakika wa jambo
Mpaka kitu kiwe na uhakika ni mpaka kipitie misingi ya uthibitisho na kuwa verified.
Unaweza ukawa wewe unasema una uhakika wa jambo ambalo bado hujalifanyia uchunguzi baadaye matokeo yakaja tofauti
Na hiyo sio uhakika ni imani
Kubadilika kuwaje?Kwahiyo kitu kikipitia misingi ya uthibitisho na kikawa verified ndipo ukasema una uhakika je hicho kitu hakiwezi kubadilika?
Kwa sababu huko mwanzo ulisema unaamini Simba atamfunga Wydad hauna uhakika kwa sababu matokeo yanaweza kubadilika.
Najadili vyote uwepo wa huyo Mungu na sifa zake.Bado haujajibu nilichouliza.
Unajadili uwepo wa huyo Mungu au unajadili hizo sifa za upendo na wema wa Mungu?
Jaribu kulielewa swali vizuri na kuona tofauti ya hivyo vitu viwili hapo.
Kuja kuwa tofauti na vile ujuavyo ama ulivyoelewa.Kubadilika kuwaje?
Weka mfanoKuja kuwa tofauti na vile ujuavyo ama ulivyoelewa.
Basi usichanganye maana unatumia sifa za Mungu kutaka kuzitumia kudai hakuna Mungu, kama unataka kujadili hakuna Mungu basi usichanganye na habari za upendo na wema wa Mungu humo humo.Najadili vyote uwepo wa huyo Mungu na sifa zake.
Mie tena nitoe mfano wakati mie ndio nataka kuelewa kutoka kwako! Tukitumia mfano wa Simba na Wydad ambapo umesema unaamini Simba atashinda kumfunga Wydad na unaamini kwa sababu hauna uhakika, kwa maana kuna chance matokeo yanaweza yasiwe hivyo kwa maana Wydad anaweza ndio akamfunga simba.Weka mfano
Jambo ambalo nauhakika nalo ni Simba kushinda 3-0 dhidi ya Kagera sugarMie tena nitoe mfano wakati mie ndio nataka kuelewa kutoka kwako! Tukitumia mfano wa Simba na Wydad ambapo umesema unaamini Simba atashinda kumfunga Wydad na unaamini kwa sababu hauna uhakika, kwa maana kuna chance matokeo yanaweza yasiwe hivyo kwa maana Wydad anaweza ndio akamfunga simba.
Sasa ndio nauliza je kwa jambo ambalo una uhakika hilo hakuna chance kuweza kubadilika?