Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

Kwa kweli na body matata ya mwanaume wa kiafrika

Au nasema uongo Wangari Maathai maana umeona ninachokiona👣👣👣

Lala salama shujaa wetu John Pombe Joseph Magufuli 💔😢🙏
wewe mama D acha hizo kumbe mnapenda wanaume weusi hebu tuambie siri ya mtungi ni nini.Sasa mbona kwenye kuzaa watoto mnapenda watoto shombe shombe mjue huwezi panda mahindi ukapata mpunga.Wanawake watata sana.
 
Ila wanaume mna wivu wa kijinga kweli, sie wanawake tunaposifia mtu haimaanishi tunamtamani kufanya nae ngono, tunasifia na inawezekana akatongoza na akakataliwa vile vile,
Sio kweli ...!
 
Nawapenda sana wanajeshi, makomando na hawa FFU.
Wanaumiza roho zangu kabisa.

Kwa kule Ulaya ni kama wale SWAT na yale magwanda yao.
Tatizo wale hawana hela [emoji1][emoji1]

Utaishia kulishwa maharage tu .

Wale Wana miguvu ya mwili sio akili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1483]
 
wewe mama D acha hizo kumbe mnapenda wanaume weusi hebu tuambie siri ya mtungi ni nini.Sasa mbona kwenye kuzaa watoto mnapenda watoto shombe shombe mjue huwezi panda mahindi ukapata mpunga.Wanawake watata sana.
😂😂😂😂😂😂 jamani! Mbona sjasema napenda watoto shombeshombe?
Kweli sisi watata🙌🙌
 
Kwahiyo hata wenye ukurutu sawa tu ili mradi anakupiga mbupu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…